Somo kwa kina dada

Somo kwa kina dada

Tatizo lenu mnataka kuwa sawa na sisi kitu ambacho hakiwezekani milele Evelyn Salt
Huwezi kuibadili Moja kuwa mbiili hata siku moja mama!
Kubalini status yenu maisha yaendelee otherwise loser daima ni nyie.

hiyo 'status' ni ipi?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu mnataka kuwa sawa na sisi kitu ambacho hakiwezekani milele Evelyn Salt
Huwezi kuibadili Moja kuwa mbiili hata siku moja mama!
Kubalini status yenu maisha yaendelee otherwise loser daima ni nyie.

Kuwa sawa ni ktu ambacho hakiwezekani daima na milele.....
Wala simpendi mwanamke anaetaka kuwa sawa na mwanaume.
Binafsi ninatambua mwanaume ni kichwa cha familia na haina why hiyo!!!!
The issue is: sweet treatment mnazotaka mpewe wakati hamjali what you are providing kwa wanawake.
Unapenda upendwe, uthaminiwe,uheshimiwe,ujaliwe,ubembelezwe n.k n.k UNAYOTAKA UPEWE WEWE UNATOA? au mliambiwa wanawake hawapendi hayo?
 
Kuna wakati mwanamke unampa kila kitu na unaonyesha mapenzi ya kweli kabisa ila yeye anachokufanyia ni ujinga mtupu.
Yan ye akiona anapendwa anaitumia nafasi vibaya nakuanza kuleta jeuri na kiburi. Si kila mwanamke ana tabia hizi ila kwa wengi wao huwa wanajisahau sana hasa wakipata pesa na kuwakimu
 
mwaJ kwani si tuna tatizo na nyinyi?
Ila nyie ndio huwa mnaleta mbwembwe majumbani ila najua mtabadilika tu coz wanaume siku hizi tunazidisha jeuri kama anavyofanya Kaizer kaona unaleta longolongo kaamua kwenda zake kwa gfsonwin kujituliza
heheheeee ukimuhitaji wasiliana na huyo mwalimu gfsonwin utampata.

Hakuna tatizo maana yupo kwa mkewe. Mie ni msiri wake hivyo hakuna ugomvi. Akijua nataka kumpa siri mpya ataibuka tu. Kwani uongo Kaizer?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tatizo maana yupo kwa mkewe. Mie ni msiri wake hivyo hakuna ugomvi. Akijua nataka kumpa siri mpya ataibuka tu. Kwani uongo Kaizer?
Heheheee wasiri ndio wabaya sana coz wanaiba kimyakimya
 
naunga mkono hoja kwa 75% becauz u have generalized yo points and i am expecting there should be some Exceptions.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom