Somo kwa kina dada

Somo kwa kina dada

Mimi nasubiri maoni ya lara1 ,bado yupo ktk xmas:A S-baby:aje atupe data juu ya hili:happy:
 
Mfanyie mazuri uone kama na wewe hutatendewa mazuri.
 
Wanchekesha haha hahaa ahaaaaaa.. Source @FF

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukiona manyuzi ya namna hii ujue tayari kuna mtu keshazinguliwa lol ...

Na ukishazinguliwa waziona negative tu positive zote zinayeyuka.

Relax mwana wani.. Life is to damn short u need to enjoy it to the fullest. Talk to mama watoto softly n she will understand men.. U know what I'm saying!!!

Pole yako mkuu..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
In that case there is a thin line between mapenzi na utumwa.....!!!!!
man anawish apate treatment nzuri kutoka kwa manamke but hajali yeye anampa nini huyo mwanamke...

Kama vigezo ndo hivo, acha nibaki kuwa girlfriend material maisha yangu yote!!!!!!
 
Nipende nikupende. Niheshimu nikuheshimu. Wajibika nitawajibika. Penye mfalme pana malkia! No more no less!

Somo halijakaa sawa, kaliandae upya!
 
Nipende nikupende. Niheshimu nikuheshimu. Wajibika nitawajibika. Penye mfalme pana malkia! No more no less!

Somo halijakaa sawa, kaliandae upya!

Utaambiwa unashindana na mwanaume........
 
Utaambiwa unashindana na mwanaume........

Na nikishindana nao lazima nitawashinda! Kwa kipi hasa walichonacho hata wasikosolewe? Maisha ya dot.com wanayataka na hapo hapo ya mwaka 47 wanayataka! Itawezekana vipi?
 
Na nikishindana nao lazima nitawashinda! Kwa kipi hasa walichonacho hata wasikosolewe? Maisha ya dot.com wanayataka na hapo hapo ya mwaka 47 wanayataka! Itawezekana vipi?

Hayo maisha ya 47 wanabip tu, enzi hizo mwanamke hafanyi kazi ni maza hausi kwelikweli kuhudumia mme na family inahusu 100 pa.....
Man anaprovide everything kwa family, leo ni mwanaume gani anaetaka maisha hayo?
muombe mwanaume elf kumi tu povu zaidi ya Omo...
 
Shiiiiiii! Usiseme zaidi Evelyn Salt maana tutajaambiwa tunadharau.
 
Last edited by a moderator:
Wamama kazi ni kwenu kubadilika.

Wee Erickb52 unataka tubadike nini? Tuwe tunawahi kutoka kazini ili mkirudi tuwavue socks? Au tuzae vitoto vyenye miguu mifupi vikikaa kwenye kochi miguu haigusi chini? Ha ha haaaaa haaaaaa! Sijui havikui? Lol!

By the way, nitafutie msiri wangu Kaizer kuna siri nataka kumwambia.
 
mwaJ kwani si tuna tatizo na nyinyi?
Ila nyie ndio huwa mnaleta mbwembwe majumbani ila najua mtabadilika tu coz wanaume siku hizi tunazidisha jeuri kama anavyofanya Kaizer kaona unaleta longolongo kaamua kwenda zake kwa gfsonwin kujituliza
heheheeee ukimuhitaji wasiliana na huyo mwalimu gfsonwin utampata.
 
Last edited by a moderator:
Tuishi kitumwa?
Tatizo lenu mnataka kuwa sawa na sisi kitu ambacho hakiwezekani milele Evelyn Salt
Huwezi kuibadili Moja kuwa mbiili hata siku moja mama!
Kubalini status yenu maisha yaendelee otherwise loser daima ni nyie.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom