Somo kuhusu WhatsApp

Asante nilikuwa nashangaa tu nawaona wanaofanya hvy kama mitume!
 
Je ukitaka maandishi yawe bold na italic hapo hapo inakuwaje
 
We jamaa hiyo mifano yako utakuwa ni mtu mwingi sana. *tukiweka kando itikadi zetu*
 
Sijaelewa nifate mkumbo mkuu? Nieleweshe jomba
Mbulu pole, mm yalinikuta km ww tatizo ni uwezo wa simu hasa uwapo wharsapp. Fanya kitu kinaitwa root kwenye simu wapelekee wataalamu simu yako itaongezeka vingi no mada hii ipo humu2 JF
 
Mbulu pole, mm yalinikuta km ww tatizo ni uwezo wa simu hasa uwapo wharsapp. Fanya kitu kinaitwa root kwenye simu wapelekee wataalamu simu yako itaongezeka vingi no mada hii ipo humu2 JF
Nielekeze mkuu niweze ku root
 
THENKI YUUUUUUUUU
 
Ukitaka uyabadili rangi je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…