...nyama mbichi iliyochanganywa na chumvi tayari kwa matumizi...Baada ya hapo kinachofata ni kwenda mitaa ya Sinza kununua....
hiyo ni mix ya urojo...konyagi, thosa, thupu, pweza,? lazima utoke nduki
ushajaribu????
Jamaa alipiga iyo combination, katika ya mechi mamsapu, bleed zikamuanza wakati ilikuwa bado week aone izo ishu zake!
Huu mchanganyiko lazima abdallaa afanye mazoezi siku 7 ndio achoke lol!
...nyama mbichi iliyochanganywa na chumvi tayari kwa matumizi...
Mkuu hapo umeharibu kuweka viroba lakini pweza na sprite sawa
hahahahahHuyo wa namna hii afu akutane na demu wako...utajuta kula chips na baga...dadeeeek!!
viroba ndo burudan yenyewe mkuu
Ningeruhusiwa kuiondowa hiyo plate hapo.
Hii lazima ilete heshima chumbani, hata kama ni madame B lazima aombe Substitution.
Wewe unakula nyoka/mijusi?