Somewhere in Tanzania

Kuna uzi jamaa kaleta ushahidi kabisa hii picha ni shule moja huko kenya, imepostiwa twitter hadi jina la shule tena kwenye account ya chombo cha habari cha kenya kitu kama Kbc au Ktn
 
Ntaamini kama ni tanaznia siku mkuu kipenzi cha masikini akipita huko.
 
Dah wanasikitisha sana! In future wakija kuwa viongozi lazima wajilimbikizie Mali ili kuepuka vizazi vyao kuishi kama wao.
 
Wana ufipa sikuizi mnakopa picha za mataifa ya jirani kuwahadaa wananchi.
 
Usishangae wananchi hapo wanafanya sherehe kubwa tu za sikukuu kila mwaka elimu ndio hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…