Somewhere in Kenya

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
1463411023201.jpg
 
Hilo swali limeulizwa na Mkenya ambaye hapendi unafiki.swali lake linaonyesha kuna uhaba wa chakula huko kenya.

MK254 akielezwa ukweli kuhusu hali halisi ya maisha ya kenya anakimbilia kutoa povu na kuweka picha za maalbino ili kuzima mjadala.

Geza Ulole MOTOCHINI
 
JK alitoa ahadi hewa kwa waalimu kuwa atawapatia wooote laptop. Kama ahadi ingetekezeka basi leo tanzania laptop zingekuwa bei chee maana waalimu walivyo wengi wangekuwa wanahaha kutafuta wateja.
 
JK alitoa ahadi hewa kwa waalimu kuwa atawapatia wooote laptop. Kama ahadi ingetekezeka basi leo tanzania laptop zingekuwa bei chee maana waalimu walivyo wengi wangekuwa wanahaha kutafuta wateja.
Duh!....
 
Back
Top Bottom