Somewhere in East Africa.....


mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
7,907
Likes
12,865
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
7,907 12,865 280
hapo kifo ni hakika, akipona anakuwa taahira huyu raia mwema.
amani inathamani kubwa hata kama inapatikana kinafiki.
 
Bizz_sam

Bizz_sam

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
299
Likes
120
Points
60
Bizz_sam

Bizz_sam

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
299 120 60
Nadhani huo mguu hukutua kichwani alikua caught in action akiuinua
 
G'taxi

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
3,327
Likes
2,731
Points
280
G'taxi

G'taxi

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
3,327 2,731 280
Wananchi pia hua wa tatizo ktk mambo kama haya,mtu anaona kuna viashiria vya vurugu na kupigwa lakini unaenda tu kwenye hayo mavurugu huku ukiimba na kuongea maneno ya ajabu ajabu kwa kupanikishwa na mwanasiasa ambaye kimsingi huwezi kujua undani wake na sili zake katika siasa na serikali.mimi nikipigwa ktk siasa labda kwa bahati mbaya sana nimejikuta tu labda nimepitia maeneo hayo kwa sababu za lazima
 
Cowman

Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,506
Likes
2,403
Points
280
Cowman

Cowman

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,506 2,403 280
Mbona amevaa kijani, haiwezi kuwa Tanzania kamwe
 
py thon

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Messages
2,444
Likes
4,137
Points
280
Age
48
py thon

py thon

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2016
2,444 4,137 280
Video niliona alimpiga teke ya matako ,sema mpiga picha au aliye screenshot alimpiga picha mguu ukiwa juu

Na hii tukio ni ya 2016 au 2015 haswa 2016 mwanzoni
 
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,715
Likes
2,972
Points
280
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,715 2,972 280
Video niliona alimpiga teke ya matako ,sema mpiga picha au aliye screenshot alimpiga picha mguu ukiwa juu

Na hii tukio ni ya 2016 au 2015 haswa 2016 mwanzoni
Afadhari mkuu, otherwise ingenipa shida sana mimi.
 
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Messages
1,636
Likes
714
Points
280
Age
30
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2013
1,636 714 280
Hatar zaid ni kuwa hao polis wanalipa kisasi vha wenzai wanne waliouliwa kinyama wakienda katika kituo kupigisha kura
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
14,430
Likes
37,851
Points
280
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
14,430 37,851 280
Then wanasema ni nchi ya amani, kudadeki, naipenda sana tanzania yangu
 

Forum statistics

Threads 1,214,233
Members 462,596
Posts 28,505,833