Sometimes we have to cry for our animals

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,960
From los Angeles
Unaweza kuona ni jambo la ajabu sana unapokuta mtu mzima anamlilia mnyama wake kama mbwa, paka, mbuzi, ng'ombe, farasi ama punda anapokuwa amaefariki dunia.

Wanyama wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu hasa unapokumbuka jambo fulani muhimu analofanya unapokuwa nae ama hata nyumbani. Yaweza kuwa ni ulinzi, uzuri wake, upole, umbo na mengine mengi mengi tu.

Kwa mfano:

Usistaajabu mwanaume huyu. Amediriki kumlilia mbwa wake kipenzi baada ya kupoteza uhai kutokana na kuvuta moshi mwingi sana uliokuwa ndani ya nyumba na kupelekea kufa.


 
Mambo megine kwa watu wengine
 
Sio africa,we stil have alot to do.!
 
Inatia uchungu sana na ilishantokea nilipomponda paka wangu kichwa kwa tairi ya gari kwa bahati mbaya. Chozi lilinitoka!
 
kwa wale watu wa magharibi ukiwauliza unakaa na nani watasema "my wife Tricia, Son Donald and Alex" usishangae ukakuta alex ni mbwa au paka.
 
Duh hii sasa kufuru.

Kulia ni njia mojawapo ya kunesha hisia. Watu wengine wakifurahi sana hulia. Haijalishi furaha hiyo imetokana na kufaulu mtihani, kushinda tuzo au kupata jibu la kukubaliwa uchumba. Uchungu pia huoneshwa kwa kilia. Kuondokewa na kitu unachokipenda kunatia uchungu na kila mtu ana kiwangochake cha kuelezea kiwango cha uchugu. Kufuru ni kumkose Mungu.
 
Ninavyochukia wanyama, sidhani kama ntakuja hata kujigusa akifa zaid ya kwenda kumfukia...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…