KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,100
Tunaendana kabisa... Sipo tayari kumuumiza mtu... Labda utake mwenyewe kuumizwaMapenzi ni mazuri sana ila sisi wanadamu ndo tunafanya yaonekane mabaya, hovyo, hadi tunafikia kuyachukia na kuchukiana.
Na hii yote inatokea pale mmoja anapokuwa kwny mahusiano kimaslahi zaidi (mbinafsi) anajifikiria yeye tu wakati wote....
If we real love each other and stop selfishness, for sure love is a beautful thing....
Nimevurugwaa!
Sijui kama kuna wakubadilika aisee,kila mtu anajiangalia yeye tuHuo ndiyo ukweli kabisa. Jamii inabidi ibadilike
Hupo tayar kumuumiza lkn unaumizwaTunaendana kabisa... Sipo tayari kumuumiza mtu... Labda utake mwenyewe kuumizwa
Tayari mkeka umeshachanika.
Sasa hapo kimekuvuruga nini ndugu mleta mada?
Kweli kabisa, mtu anajiona yeye tu ndo anapata shida, yeye tu ndo asaidiwe kila siku, yeye tu ndo ajaliwe na kupendwa, kweli? Ubinafsi wa hali ya juuInakeraga hiyo kujifikiria mwenyewe tu, yani kila kitu unajiweka wewe tu hauwazi wengine, huwazi shida wanazopitia ilmradi we uko good....mxyuuuuu
Hakuna kwny tulizo la moyo siku hz mkuu.Pole sana
Njoo nikupe tulizo la moyo, wala usicomplicate sana maisha
Unakosea mkuu, kila mmoja anastahili upendo, heshima n.k unapoingia kwa ajili ya gaida zako mwisho wa siku unamuumiza mwenzako aliyetayar kukupenda na kujitoa kwa ajili yakoThere's no relationship without personal benefits
Sipo tayari kumuumiza mtu, labda apende mwenyewe...Hupo tayar kumuumiza lkn unaumizwa