Sometime mwanachadema huwa nawaza nje ya box

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,418
Nimeangalia taarifa mbunge wetu kashinda kesi ya uchaguzi akasema mahakama imetenda haki




Ila mara nyingi pia huwa nasikia viongozi wetu wakisema mahaka za tanzania hazitendi haki

Hebu tufikilie nje ya box ila usitukane
 
Hahahaha ngoja washindwe utasikia simu ili toka ikulu...
 
Nilijua kesi zote zitaamuliwa kwa mtiririko huo,
Je kuna nafasi ya kukata rufaa mahakama kuu ya rufaa?
Davie alikata rufaa sina hakika na Wenje, inataka moyo kwa watu hawa kuendelea kuwa wazalendo kwa waliyofanyiwa
 
Back
Top Bottom