Something is Wrong....Auto correct

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,447
Leo nilikuwa ninaandika sms kwenda kwa shemeji yangu!

Niliandika neno chumvi simu ikarekebisha ikapendekeza chumvini

Nikaamua kumtext rafiki yangu MTM kumpa pole ya kichapo cha Totenham

Dear MTM autocorrect inapendekeza Dear Mat.ko nikajikuta nimetuma....MTM hajaongea na mimi tangia hapo

Kali zaidi ni hii hapa chini, I tried to write in English it was even worse!

attachment.php

How can I remove this Autocorrect!!
 
Attachments

  • autocorrect.png
    autocorrect.png
    55.3 KB · Views: 117

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,242
10,068
Leo nilikuwa ninaandika sms kwenda kwa shemeji yangu!

Niliandika neno chumvi simu ikarekebisha ikapendekeza chumvini

Nikaamua kumtext rafiki yangu MTM kumpa pole ya kichapo cha Totenham

Dear MTM autocorrect inapendekeza Dear Mat.ko nikajikuta nimetuma....MTM hajaongea na mimi tangia hapo

Kali zaidi ni hii hapa chini, I tried to write in English it was even worse!

attachment.php

How can I remove this Autocorrect!!

Mchungaji Bwana asifiwe,
Hiyo simu yako ipo siku itakusababishia life ban siku ukijitusu kumuandikia sms PAW.. kaa nayo mbali..
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,447
Bado yatesa!

attachment.php
 
Attachments

  • autocorrect.png
    autocorrect.png
    52.1 KB · Views: 110

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,327
Mkuu pole sana...
Naona layout ni ya iphone.
Nenda kwenye settings...general...keyboard...Utaona option zifuatazo..
auto capitalization.
Auto correction...weka off
Check spelling...weka off
Enable caps Lock
Shortcuts.
All the best.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,245
91,913
umenikumbusha yule alie m sms mama wmenye nyumba kumwambia umeshau kunipa bili ya umeme....

ikawa bili ya uume......lol
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,832
36,980
Rev. rudi kwenye kazi ya Bwana, inaonyesha kuwa umetoka kundini, rudi mchungaji, kachunge kondoo wa Bwana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom