Something From Nothing

Umezungumzia energy,na matter kwamba matter cannot be created or destroyed only change form.kama nimekupatavizuri sijaona mahali ukizungumzia information. Wengine tunadhani information ndio Neno na ndio Mwanzo.
 
Umezungumzia energy,na matter kwamba matter cannot be created or destroyed only change form.kama nimekupatavizuri sijaona mahali ukizungumzia information. Wengine tunadhani information ndio Neno na ndio Mwanzo.

Uwe macho na nadharia za kisayansi na vikomo vya dhana zake. Si kila kitu kwenye sayansi kimepatiwa kujulikana vema ama kikamilifu.

Dhana ya 'Nishati' katika sayansi ya leo ni kati ya vitu vyenye kufahamika 'nusu' ; japo hata nusu hii inaonekana kufaa kwa mapana ya tekinolojia nyingi za kileo.

Nusu nyingine kuhusu ya kinachofanya 'nishati' itatuwezesha hata kufanya makubwa ama ya ajabu zaidi; hata utaalam wa leo kuweza kuotea.

Basi, kama vile tujiulizavyo kuhusu mungu na ulimwengu, vile vile kujiuliza kutokea kwenye finomena na athari kunatuwezesha kufanyikia maarifa bora zaidi kutufaa hata maisha, uwezo na mawezekano yetu. Badala ya mungu wa kudhaniwa hivi ama vile, sisi wenyewe tunaweza kuwa Mungu katika matendo--nia na kusudi jema ndani ya kadiri ya mapenzi mema yenye kusitiri sura na namna za uhai na maumbo anuai.

Haitufaidii chochote kufikiria mungu fulani aliye huku ama kule, mwenye uweza, na hali labda uweza huo tayari upo nasi na ndiyo maana maisha yanawezekana na kuchakata... Tunadhania nguvu iko nje na kumbe labda hiii iko kote na mote(?)

Hebu tuangalie kwa mfano, umeme... Hivi kweli -- hata kabla ya kuuliza ya fumbo la mungu, je, tunadhani kila kitu kinafahamika vema juu yake? Laiti tungalikujua maarifa na utalaam wetu bado una misingi wa mafumbo matupu -- mawezekano zaidi bado yamefichika katika wigo za maendeleo yetu kisayansi; basi ingalikuwa kheri kuanza na sayansi wakati tukijitihada kutafuta muafaka nafsi na mustakabali katika maisha na ustaarabu wetu.

Tazama video ifuatayo kwa mfano:


Na hii:


++++++++++
The cube,

A square is synonymous to the breath of the Divine.. Contraction and Expansion; 2 is the number--breathing in, breathing out, the crest and trough... Seven is the number for expression of/denoting completion and thus octaves of 'halving' or 'doubling' the 'wavelength' of any particular frequency of choice...

Electricity must mean both positive and negative kinds of effect... What is known to us for the most, is half of the story; but user experience in dielectric potentials reveals / shall reveal the truth... What electricity really is; and the charge or wave in space-- the truth of matter and space.

And i have got my eye upon the possibility of the perpetual mechanics employing the vector equilibrium of magnets in hexagonal configuration--the hidden cube cum tetrahedron 'nodes' of 'power' of the breath in a potential sphere... The vortices of aetheric 'liquid light' which charges all of us to rethink all about space and counter-space, position and displacement, rest or movement.

It is just effect-wise -- we see or detect one and not the other in space in which the two innate dispositions of force and power abound simultaneously to maintain the illusion of form and space...

How to disturb the pivot of that which is and that which is not, of space and form?

Hmmm
+++++++

Je, unaweza kufikiria, ni kwa jinsi gani video hizi mbili zinaweza kuleta shauri la visifa vya 'habari' nyuma ya maumbo na mitungiko ya maada kwa mfano? Kuzingatia mitizamo niliyogusia hapo juu, kuhusu 'tofa mraba' na 'mraba' (!?)
 
Swali la how to get something from nuthin' at all limejibiwa hapa na maswali mengine matano makubwa yanayoelezea mustakabali wa maisha ya Mankind upo hapo ukipitia toa maoni yako zaidi

Si kwamba hapa ama humo kwenye video kuna 'majibu' hasa, lakini ni mawazo na mawaidha mazuri.

Labda kuna moja la kukumbuka, sayansi 'inajiweza' pale ambapo kuna sababu na sababishi kwa jambo, lakini fumbo la uzima wote kiini chake ni usi-sababu...

Ninapenda kadiri ya mawazo na mitazamo basi na sisi tujiongeze kusudi kiu yetu ya kujua iweze kutuletea japo 'maendeleo'; kwa vipi? Ikiwa tunapenda sayansi basi tuwe na bidii na upeo wa kunyambua mambo kisayansi, lakini hapo hapo tukumbuke dhima yetu ina maana hasa ikiwa tunadhamiria hata kujijenga na kujiinua kitaasisi vile vile.

Sisi tunayonafasi ya utafiti na uchunguzi katika uwanja wa sayansi kama kungineko kokote duniani. Tunaweza kuibua vikundi vya utafiti hata wa kitekinolojia kupitia vyombo vyetu vidogo vya sayansi na maendeleo kama Costech(COSTECH), ama kufanya jitihada kwa maabara binafsi. Kwa hiyo tukiwa tunalifikiria hili basi inakuwa haiepukiki kuwa na bidii ya kujitahidi kutumia akili na vipawa vyetu hata kwa uwezo mkubwa na mpana kuwezekana.

Nidhamu ya kudhamiria kufanya kweli daima itatusukuma hata upenuni mwa habari na uvumbuzi juu ya mafumbo mbalimbali ya kisayansi.

Tunafanya vizuri humu, ila tunaweza kufanya bora zaidi.

cyrustheruler huyo mzungumzaji hapo juu bidii yake inasogea mahala fulani pazuri lakini kwa sisi watu ama mtu kama mimi ambaye maarifa ya dini na ya sayansi si tatizo, ninaweza kusema ukikomaa na mafundisho ya mfano wa mtu mwenyemaono, Walter Russell, basi unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi hata ya kujikita kwenye fikizikia ya vitendo inayoweza kuelekea kwenye kuzaa matunda ya 'Kitu kutoka kusikokitu'...

Halafu kama wewe na wengine humu mngekuwa mmetanua sana uwanja basi ningesisitiza kusoma Akisiomu za Kapilla(Sankhyakarika), moja ya sayansi za zaidi ya miaka 33,000 iliyopita lakini ni hazina ya sayansi ambayo tunaweza kunasibu na ule ujuaji wa hali ya juu kama si kipekee mno; na kushangaza sana juu ya ulimwengu, maumbo na kosmosi...

Viungo viwili kwa mafundisho ya Walter Russell na Maharishi Kapilla ni:
- OFFICIAL WEBSITE
SANKHYAKARIKA

Sasa, kuweka kumbukumbu sawa, hebu tuzingatie shauri la sababu isiyo sababishiki--kitu chenye kuleta utata wa namna kabila moja na kusema mungu ndiyo chanzo na yeye hakuumbwa na yeyote... Sayansi haiwezi kutengea kitendawili hichi ila tu yenyewe ianzapo kumudu kuleta mazao kutoka kusiko kitu--mfano, kutunga maada kutokea kwenye utupu, ama kufua nguvu za nishati kutokea kwenye utupu, vile kwa mfano siku hizi tunaita 'Nishati Nukta Sufuri'(Zero Point Energy, Kng)...

Tazama video hii, Msikirifu OSHO atahitimisha video hii kwa kuzungumza bayanisho la sayansi na 'kutafuta kiroho':

https://www.facebook.com/
Wakati mwingine hata kwenye tafsiri na mawaidha ya mapokeo toka kwenye masahafu, vitu hivi hudokezwa--Kur'an, Baghavadi Gita, Veda, Avesta nk lakini kitabu ni kitabu--si ufunuo. Kwa hiyo kiu yetu isiwe tu kwa mawazo na fikra bali ufunuo ama ishara zaidi ya kutaamulika kadiri basi kuakisika na kazi za mikono yetu.

Hmmm
 
Karibu
 
Ungesoma vzuri quantum mechanics ungeelewa kuwa empty space ni concept ambayo iko katika scrutiny kutokana Na existence ya kitu kinaitwa quantum flactuations ambayo inasema kuwa particles zinaweza pop up yani kutokea Na kupotea katika sehemu yoyote Ile hvo basi empty that is vacuum cannot exist
 

Sina hakika na ulichoandika
 
Without the quantum theory we would not have the computers and the internet you are harping on.

How does the quatum theory contribute to the invention of computers as well as the internet? Specifically, which part of the theory explains the said inventions?
 
Without the quantum theory we would not have the computers and the internet you are harping on.

How does the quantum theory contribute to the invention of computers as well as the internet? Specifically, which part of the theory explains the said inventions?
 
A theory does not explain a fact. It is an idea that is suggested/ intended to explain a fact.
You are making a confusion between a theory and an hypothesis. A theory is a proven statement of fact and so it explains a fact. An hypothesis is a suggested statement intended to explain a fact.
 
The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,
The gaps do both. Neither do they create nor eliminate God
 
I cant prove his Absence,simply because he doesn't Exist.

Sasa kama nothing yenyewe ina -exist, how do you go further to prove that God does not exist, kisa tu kwamba huwezi ukamuona? Kama nothing ina exist then impliedy everything exists, including God. Tatizo huwa mnaanzia arguments kwenye Emperical Sayansi, halafu baadaye tena mnakimbilia kwenye Religion, mnaanza kutumia Biblia. The BIBLE is a not a tool of Empreical Science, it's a tool of Spritual Science. Neither does Emperical Science recognise Bible as it's tool. Kila Sayansi ina tools zake, na Emperical Science ndiyo huwa inaweka msisitizo mkubwa sana katika hili. Never swap the tools among different branches of Science, unless the particular tool is recognisable within that Branch of Science. Ukifanya hivyo utakuwa unatengeneza fallacy moja ya ajabu sana katika maisha yako yote
 
Biblia kuwepo haimaanishi Mungu yupo,kwan nani alikwambia Biblia iliyoka kwa Mungu?,

YESU alizaliwa kama wengine(swal dhaifu sana hili), haya maswal ya namna hii nimeshajibu sana humu jaribu kuwa unasoma comments na maswal ya wengine ndugu karibu.

Respect the fact that the Bible is not a tool of Emperical Science and so never use it in your arguments here! Moreover, observe also the fact that you have to use emperical tools in all your arguments with regard to emperical science and likewise, and spritual tools for spritual science. This implies that it is impossible to argue between these two Branches of Science but rather, only compare them, because they do not use the same tools
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…