Someni hiyo ya Mwl. J. Nyerere nimeicopy facebook

Someni hiyo ya Mwl. J. Nyerere nimeicopy facebook

Sasa hivi hatuna viongozi bali tuna wakoloni weusi wanaoitawala na kuifukarisha nchi yetu, hawa kazi yao ni kuringishiana suti na magari ya kifahari.

Mkuu Fredomfighter,

Hao waafrika wajanja wachache aliowasema Mwalimu mwaka 1958 (Nilikuwa sijazaliwa), ndio hao wanaojiita viongozi wetu wa sasa!!!! Mzee alikuwa anaona mbali.

Tiba
 
Sasa twajionea wenyewe, nenda kaone watu wanavyomiliki ardhi mpaka utazimia. sijui hii nchi tutafika wapi ngoja tuombe uhai tuone miaka 20 ijayo tutakuwa wapi, lakini kwa kuwa Chadema inatarajiwa kuchukua dolla 2015 tutasawazisha haya yote.
 
Sioni ambacho kinafanyika sasa alichokisema Nyerere, ni kipi hicho? Ardhi yote Tanzania ni ali ya Serikali. Nani mwingine mwenye miliki ya Ardhi? sana sana tuna lease tu kutoka Serikalini.
 
We will always remember him,aliona mbali mh kama wafu wangekuwa wanarudi sijui angefanyaje leo akirudi, nafikiri angezimia.
 
He had great visions.A very wisdom man he was.Like light in the dark so was he! We lost great treasure!
 
as if he was smelling betrayal of the future leaders (today's Leaders)......we will always remember him
 

LAND & WATER RESOURCES, MAIN CAUSE FOR FUTURE CONFLICTS.

The African continent is absorbing the global pressure caused by population surge. The enormous land grab, and food piracy trending in the continent, in which Africa's farmlands, and water sources, necessary for food production, are rapidly falling in the hands of –land grabbers is quite worrisome and likely re-ignite another ugly chapter of confrontation in human history. Tanzania being a potential victim, it must do all it can to avert this brewing catastrophe from its boarders

Major global conflicts and wars were fought on the pretext of land; Quest for territorial expansionism and influence, need for natural resources, and food sufficiency. From the agrarian period, to the never ending Israeli-Palestinian conflict, land has been at the center stage. Similarly, the challenging internal and cross boarder future conflicts will be land related. The conflicts will be characterized by deadly internal uprising characterized by hungry rural population looking for water and land for farming, turning against investors-land grabbers- or modern day settles if you will, while urban dwellers dying to have food revolting against their regimes

Rich nations with population explosion are buying huge tracts of the continents arable farmland, to meet their domestic food needs and security. Many wealthy nations, with no arable land, are exploiting the cracks of greed and corruption within the African regimes, to address the pressing food needs within their countries, leaving Africa in a potentially explosive situation.

World largest commodity producers have sensed the dangers ahead, and since then have been imposing restrictions on their domestic staple food exports in order to maintain economic, and food related security, leaving the global market with huge supply deficit. This new trend is posing a greater threat, particularly for Africa, whose farmland is becoming an alternative for wealthy countries with huge populations to bank on in terms of their future food sustainability and security

South Korea, China, Japan, India, Britain, UAE, and Saudi Arabia are leading the pack in land grabbing spree. The Saudis have signed a deal for 500,000 hectares of land in Tanzania. South Korea has grabbed 960,000 hectares in Sudan, and 1.3 million hectares in Madagascar. These neo-colonialists are in Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia, Congo, Mozambique, and Zambia just to name a few

The most troubling reality behind these neo-colonialists, is that, all of the food produced in these farms, are not for host country domestic consumption; they are however, being shipped back to their home countries to feed their populations. According to London's Financial Times, Madagascar's former regime leased their land to the South Korea's DAEWOO company for 99 years, and all the harvests during the period, was to be shipped back to feed South Koreans.

The company paid nothing for the land, and the only promise to the government was the improvement of the country's infrastructure. This is the pattern across the continent in which African leaders have repeatedly inhumanely evicted, razed and burnt their citizens' dwellings at the expense of these neo- colonialists, food pirates, and land grabbing settlers. Madagascar public was not informed of the land deal, and when the news leaked, the regime's life came to an abrupt ending; the country's leadership was toppled by the outraged population.

The following leadership led by Andry Rajoelina, world famous disc Jockey, nullified the contract, declaring Madagascar's land as neither for sale nor for lease to foreigners. African natives many a times have had no significant gains in these deals, apart from providing slave labor. In a series of African leaders selling their countries, president Museveni In early 2000's, violently displaced his own people, and gave the land to a German coffee investor leaving his population in extreme poverty and despair.

Millions of people around the continent have been violently driven out of their ancestral lands at the expense of foreign land grabbers, and food pirates. This leaves us to wonder on what's wrong with us Africans. We can't think the basics. It is next to impossible for a Tanzania national for instance go to Saudi Arabia, South Korea, India or even China and purchase 300 hectares of land. Land is an extremely sensitive issue in the Middle East and Asia and simply untouchable, yet an African is selling his own land to foreigners to grow bio-fuel, yet he has no food. He is a slave in his own state of mind.

Land is rapidly becoming scarce within the Eastern Africa Bloc of nations. With projection of nearly 70million people by 2025, need for farmland, and water sources in Tanzania will be significant. Strain on these resources will be enormous and challenging, especially at the time they will in the hands of foreigners. We have to realize that, there is no sanity, restraint, or tranquility where there is no food. Hungry people have no morals and can never be rational. This is survival law of nature.

We are likely to face internal lawlessness when people will have to deal with live or die situations due to lack of food. This tragedy will only be averted, if our future food security and sustainability planning takes into account the fact that our LAND and water sources remains off limits for UNREASONABLE foreign lease, acquisition or purchase.

In recent years, Brazil moved to tighten her land ownership laws, in which no foreigner is allowed to purchase land. The same approach should be applied in Tanzania. We cannot allow foreign governments to ease their population pressure by taking advantage of our country to re-settle their land less. Tanzania is nobody's colony and is not going to be. We are a growing nation, leasing our land for 99 years to foreigners is a political suicide and betrayal to the people of Tanzania. Nationalists in the parliament of Tanzania must rise and confront this issue head on, be it in the East African Federation or Far Eastern friends, Tanzania's land must be off limits.

Newly nominated members of the East African Legislative Assembly, Honorable Banji, Kizigha, Mwinyi, Taslim, Kesi, Ndelakindo, Kimbisa, Murunya, Nyerere and Yahya, must carry the same mantra to the EAL Assembly. Our land and natural resources, have no expiration date, and MUST remain out of bounds and completely out of the DISCUSSION by foreign entities.

Nyerere's administration regarded our land its resources so sacred, to an extent of leaving them intact for generations to come. Likewise, our present leadership must do the same as the current generation is in position to develop our land and its resources in very few years to come. We must adopt the Brazilians approach to maintain our future economic independence, and food security, averting land grabbing that is likely to ignite deadly survival conflicts of our times
Mungu Ibariki Tanzania

John Mashaka
Mashaka.john@yahoo.com

Source Michuzi Blog
 
Sioni ambacho kinafanyika sasa alichokisema Nyerere, ni kipi hicho? Ardhi yote Tanzania ni ali ya Serikali. Nani mwingine mwenye miliki ya Ardhi? sana sana tuna lease tu kutoka Serikalini.

UNA LEASE KWA MUDA GANI??? MIAKA 99!!! SUMAYE, MKAPA etc wana hekari ngapi? Kati ya hizo ni zipi zinazalisha? kama hazizalishi anamiliki za nini? je kuna watu wangapi wanaozunguka hizo hekari?
 
Huyu Mzee akifufuka leo na kuona kinachoendelea katika umiliki wa ardhi, ATAKUFA HAPO HAPO TENA!!!
 
Baada ya kuyasoma maneno ya Mwalimu nakubaliana na wengi wanaosema "utabiri umetimia!"

Lakini pia nikajiuliza masuali haya...Kwa nini Mwalimu alihakikisha habakii hata mtanganyika mmoja?

Huyu Mwalimu si yule ambaye aliifuta serikali ya Tanganyika?

Kwa nini Mwalimu alifanya na alihakikisha yeyote anayetaja jina Tanganyika aonekane ni mhaini?

Hawa wajanja wa leo wana"ijasiri mali" Tanzania na sio Tanganyika.

Mwalimu aliifisadi Tanganyika na hawa "Mr. Clean" wake wanaifisidi Tanzania.

Kama Mwalimu aliua utanganyika, kweli alitegemea kuwa kutakuwa na mtanganyika au ardhi ya Tanganyika?

Kama hilo halikutosha sasa pia tunataka kuiua Tanzania ili tuwe waafrika mashariki (waeast afrika)...u-tundu wazi aka utandawazi.

Serikali za Tz zinatujasiri mali kwa zamu! Tuamke!
 
Alaaniwe sana aliyepiga dili la kumwondoa duniani ili apate kuuza mashirika ya umma kama yaliyowahi kusemwa hapa ni kweli. Dhambi ya kutuondolea huyu mtu itaendelea kumtafuna tu!
 
mimi naona kumiuta nyerere baba wa taifa bado haitoshi nadhan tumtaftie jina special sana huyu mmtakatifu maana yeye ni kati ya wale walioshuhswa toka kwa bwana kutukomboa tanzania lakini baada ya bwana kumuita , mafisadi wakageuka, hii na mfano kama alivyoshushwa yesu kristo atukomboe lakini baada ya kupaa maovu yakashika hatamu. mungu ibariki tanzania , mungu ibariki africa na mungu ilaze mahali pema peponi roho ya mtumish wako nyerere julius . amiiin

Tanzania ni nchi yenye dini tofauti , usitulazimishe nasisi kuingia katika ukatoliki, japo alikuwa na mawazo mazuri sana kama hayo ambayo leo tunaona viongozi wetu wanavouza ardhi hovyo kwa kisingizio cha MIRADI LAKINI PIA ANA MABAYA mengi aloyafanya katika nchi hii ambayo wapo ambao hawataki hata kumsikia, kwa hiyo huo utakatifu ni wa wachache ambao walifaidika nao na sana sana wakatoliki wenzake ! kwa hiyo wao wamsimike lakini sio kwa wote ...hilo halitawezekana ndugu yangu .
 
Baada ya kuyasoma maneno ya Mwalimu nakubaliana na wengi wanaosema "utabiri umetimia!"

Lakini pia nikajiuliza masuali haya...Kwa nini Mwalimu alihakikisha habakii hata mtanganyika mmoja?

Huyu Mwalimu si yule ambaye aliifuta serikali ya Tanganyika?

Kwa nini Mwalimu alifanya na alihakikisha yeyote anayetaja jina Tanganyika aonekane ni mhaini?

Hawa wajanja wa leo wana"ijasiri mali" Tanzania na sio Tanganyika.

Mwalimu aliifisadi Tanganyika na hawa "Mr. Clean" wake wanaifisidi Tanzania.

Kama Mwalimu aliua utanganyika, kweli alitegemea kuwa kutakuwa na mtanganyika au ardhi ya Tanganyika?

Kama hilo halikutosha sasa pia tunataka kuiua Tanzania ili tuwe waafrika mashariki (waeast afrika)...u-tundu wazi aka utandawazi.

Serikali za Tz zinatujasiri mali kwa zamu! Tuamke!


Iweje huyu huyu aitwe MTAKATIFU?
 
Sioni ambacho kinafanyika sasa alichokisema Nyerere, ni kipi hicho? Ardhi yote Tanzania ni ali ya Serikali. Nani mwingine mwenye miliki ya Ardhi? sana sana tuna lease tu kutoka Serikalini.
no offence but...unaangushwa na urefu wa uelewa wako! wakorea wana hekari 100,000/ za ardhi fertile mali yao kabisa, wamenunua kama wamarekani walivyonunua guantanamo ndani ya cuba! for your information...tanzania ndo nchi ya africa inayoongoza kwa kuuza ardhi ikifuatiwa na msumbiji...source:aljazeera news
 
Hayo maneno yanatakiwa kuwekwa katika baNgo kuuuuuubwa na kuliweka katikati ya jiji viongozi wetu waone aibu

Umewahi kusikia msemo wa kumpigia gita mbuzi?

Kuna mwanasiasa TZ anaeona aibu? Neno aibu au kuwajibika halimo katika msamiati wao. Wao wana msamiati...kujitegemea, ujasiri mali, ubunifu (katika kuvuna shamba la bibi),ubinafsishaji, utandawazi(kusuka deals za 10%), utanuzi wa wigo (kujilimbikizia mali na ardhi na kutoa ahadi hewa).

Zile hela za EPA zilirudishwa? na wale wahusika wamepewa adhabu yeyote?

Aibu...waone aibu!!!????

Vibaka tunawachoma moto au tunawatwanga matofali.. Sifahamu mantiki yake lakini wakwapuaji wa mali za Tanganyika tunawachekea na kuwaita "viongozi wetu"???

Hawa ni viongozi au vidokozi?
 
UNA LEASE KWA MUDA GANI??? MIAKA 99!!! SUMAYE, MKAPA etc wana hekari ngapi? Kati ya hizo ni zipi zinazalisha? kama hazizalishi anamiliki za nini? je kuna watu wangapi wanaozunguka hizo hekari?

Umesha jiuliza Kanisa Katoliki lina ekari ngapi? ukishapata jibu, jiulize za nini zote?
 
Back
Top Bottom