Someni hapa kina dada...

Not good enough....kuwa kwenye ndoa hakumaanishi una practice wizauti kondom na mume/mke wako na nje ukatumia kondom....kwasasa walio ndani ya ndoa ndio wapiga wizauti kondom nje kuliko singles....

Wewe, ni wanandoa wangapi wanatumia condom? Nakubaliana na wewe juu ya kupiga nje bila condom; maana wameshazoea ndani peku peku. Condom hutumiwa na vijana zaidi ambao hawajaoa!
 
Kwa kuwa kwa hali ya sasa na hali ya utandawazi ilivyoongezeka, vijana wa kike kwa wakiume wamekuwa wakijiingiza kwenye mambo ya ngono angali wakiwa wadogo tofauti na siku za zamani, Inawezekana kuwa kwa research hii "depression" kwa miaka ya sasa imepungua sana kulinganisha na miaka ya zamani ambapo asilimia kubwa ya ngono ilifanyika wakati wa ndoa tu? Kaunga, Vin Diesel, Mwali, Kongosho na wengineo naomba mawazo yenu!
 
Tafsiri ni suala mtambuka sana....kukupigia simu,kukufuata,kukutoa out nk yote hayo yanaweza swihi kwenye tafsiri hiyo....

mwambie huyu,hata ku gonga likes ni kuhonga pia
so Kaunga we hesabu likes nazo kugongea....nitadai malipo soon lol
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri ni suala mtambuka sana....kukupigia simu,kukufuata,kukutoa out nk yote hayo yanaweza swihi kwenye tafsiri hiyo....

Lakini jamani kama simu, mdada hapigi? Kama out, akikualika nyumbani na kukuandalia dinner na glass ya wine kwa tafsiri hiyo naye si atakuwa amekuhonga?
 
Ya ndani ya nyumba ni mengi sana mkuu....nina ndugu yangu wa kike just 26 kaolewa na ana mtoto mmoja...mumewe mwezi wa sita sasa hawaja do....

Aiseee, sasa na huyo mtoto ni wa huyo mwanaume au mwanaume ana uwezo wa ku-do just twice per year?!
 
ngoja na mie nifanye utafiti kama chumvini kunaondoa depression kwa wanaume. Nitaambatanisha na picha na ushuhuda wa sample. ntaomba kuanza huu utafiti na Vin Diesel halafu ntakuja kwa wengine. nadhani hapa JF kuna wanaume wa kutosha kupata concrete results. naombeni ushirikiano wenu

LOL
 
Last edited by a moderator:
Hiyo si kuhonga bwana, hivi hujui kuna wanaume wanahongwa? Nenda love connect uone mabandiko ya kutafuta wamama wa kuwalea vijana!

Kuhonga inaanzia na trip ya visiwa vya madagascar au usheli sheli. LOL
ha ha haaaa dah...a brother surely needs more than a single wallet and a bunch a dem cards to satisfy...:A S cry:
 
ngoja na mie nifanye utafiti kama chumvini kunaondoa depression kwa wanaume. Nitaambatanisha na picha na ushuhuda wa sample. ntaomba kuanza huu utafiti na Vin Diesel halafu ntakuja kwa wengine. nadhani hapa JF kuna wanaume wa kutosha kupata concrete results. naombeni ushirikiano wenu

LOL

Siku hizi ukisikia mtu amekula chumvi nyingi usifikirie umri pekee...kuna chumvi nyingine....
 
I see!
A little biological background is helpful. Semen (or seminal plasma) contains only 1 to 5 percent sperm. The rest of the chemical composition includes more than 50 compounds with various functions. A few of the more notable elements include cortisol (increases affection), estrone (mood elevator), prolactin (a natural antidepressant), oxytocin (mood elevator), thyrotropin-releasing hormone (antidepressant), melatonin (induces sleep), and serotonin (well-known antidepressant neurotransmitter), among many others. It's not a stretch for researchers to then consider whether semen would have antidepressive effects, given its composition.

NB: But, having an unprotected sex is clearly a risky proposition in today's world
 
Aiseee, sasa na huyo mtoto ni wa huyo mwanaume au mwanaume ana uwezo wa ku-do just twice per year?!

Mengine hadi nimeogopa kuuliza mkuu....imagine mtoto wa kike mwenye miaka 26 haja do na mumewe miezi 6...si kutafutana ubaya huku...
 
ngoja na mie nifanye utafiti kama chumvini kunaondoa depression kwa wanaume. Nitaambatanisha na picha na ushuhuda wa sample. ntaomba kuanza huu utafiti na Vin Diesel halafu ntakuja kwa wengine. nadhani hapa JF kuna wanaume wa kutosha kupata concrete results. naombeni ushirikiano wenu

LOL

We we we usilete ushahidi wa picha hapa, utapigwa ban! Labda ushahidi ukatupie jukwaa la wakubwa!
 
Back
Top Bottom