Jamaa mmoja alioa mwanamke aliyekwisha kuolewa na kuachika na wanaume wawili.Cha ajabu huyu mwanamke alikuwa bikra bado.Jamaa akaamua kumuulizia,imekuwaje aolewe na kuachika mara mbili na bado ana bikra?.Mke akajibu;Mume wangu wa kwanza alikuwa muuza ice cream,alikuwa ananiramba tu.....Mume wangu wa pili alikuwa ni mpiga picha,alikuwa ananipiga picha tu.Mume akajibu;basi kwangu kazi unayo mama,mimi ni MZIBUA VYOO!