Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 Dec 19, 2016 #101 Hii story kiboko,hadi unataman kwa muda uwe mpiga chabo ushuhudie mechi laivu laivu.
yuclighty JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 676 Reaction score 325 Dec 20, 2016 #102 Duh! apo kwenye kuogelea, mida hiyo jamani wakikutana na kenge je? hahahaa
red apple JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 780 Reaction score 1,216 Dec 20, 2016 #103 you are good....tamu sana.
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,174 Reaction score 26,912 Dec 20, 2016 #104 Hii stori nzuri sijui kwanini watu hawakomenti
J jichopevu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 406 Reaction score 248 Dec 21, 2016 #105 Nahisi harufu ya James kulala na Chanel.....naota tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 Dec 21, 2016 #106 Kwa sababu inapandisha mzuka. Unaweza comment ndivyo sivyo. Bora kupita kimya kimya tu Mazigazi said: Hii stori nzuri sijui kwanini watu hawakomenti Click to expand...
Kwa sababu inapandisha mzuka. Unaweza comment ndivyo sivyo. Bora kupita kimya kimya tu Mazigazi said: Hii stori nzuri sijui kwanini watu hawakomenti Click to expand...
Money Penny JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 18,204 Reaction score 17,560 Dec 21, 2016 Thread starter #107 Mazigazi said: Hii stori nzuri sijui kwanini watu hawakomenti Click to expand... hahahaha Mazigazi asante hata mimi sijui pia asante red apple uuuwi jichopevu
Mazigazi said: Hii stori nzuri sijui kwanini watu hawakomenti Click to expand... hahahaha Mazigazi asante hata mimi sijui pia asante red apple uuuwi jichopevu
Summer martin Member Joined Oct 12, 2015 Posts 82 Reaction score 65 Dec 21, 2016 #108 Daaah cimagne hata 2napo elekea kwa maana c kwa doreen kuachwa hvyo
red apple JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 780 Reaction score 1,216 Dec 21, 2016 #109 ina maana huyo lucifer alimtuma James amtongezee yeye hawezi au???? ni mambo yake ya kishetani...itifak ilizingatiwa???
ina maana huyo lucifer alimtuma James amtongezee yeye hawezi au???? ni mambo yake ya kishetani...itifak ilizingatiwa???
Money Penny JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 18,204 Reaction score 17,560 Dec 21, 2016 Thread starter #110 Summer martin said: Daaah cimagne hata 2napo elekea kwa maana c kwa doreen kuachwa hvyo Click to expand... hahaha, huko mbele ndio pazuri zaidi afu pananoga mbayaa Summer martin red apple inakuwaje Don ni Domo zege? hahahaha, sio kweli, kasome wadhifa wa Lucifer ana akili sana, anapenda vitu laini laini tu
Summer martin said: Daaah cimagne hata 2napo elekea kwa maana c kwa doreen kuachwa hvyo Click to expand... hahaha, huko mbele ndio pazuri zaidi afu pananoga mbayaa Summer martin red apple inakuwaje Don ni Domo zege? hahahaha, sio kweli, kasome wadhifa wa Lucifer ana akili sana, anapenda vitu laini laini tu
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,808 Dec 21, 2016 #111 samahani shout out ndio nini?? mi mgeni natokea mexico kwa lucifer. Nataka kuja huko wasapu
UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Dec 21, 2016 #112 Money penny please come back soon
cesilia JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,233 Reaction score 1,250 Dec 21, 2016 #113 Ukuje basi mumy
yuclighty JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 676 Reaction score 325 Dec 21, 2016 #114 dah kwa kweli naona katika maombi yale ya mkesha aliejibiwa kisawa ni carrie, maana naona awa wengine watu walowapata ni sheeda tupu
dah kwa kweli naona katika maombi yale ya mkesha aliejibiwa kisawa ni carrie, maana naona awa wengine watu walowapata ni sheeda tupu
yuclighty JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 676 Reaction score 325 Dec 21, 2016 #115 Remmy said: samahani shout out ndio nini?? mi mgeni natokea mexico kwa lucifer. Nataka kuja huko wasapu Click to expand... hahahaaaaaaa
Remmy said: samahani shout out ndio nini?? mi mgeni natokea mexico kwa lucifer. Nataka kuja huko wasapu Click to expand... hahahaaaaaaa
Money Penny JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 18,204 Reaction score 17,560 Dec 21, 2016 Thread starter #116 Remmy said: samahani shout out ndio nini?? mi mgeni natokea mexico kwa lucifer. Nataka kuja huko wasapu Click to expand... uuuwi hata sijui nikwambieje, labda utume salamu na maoni whatsapp Remmy nakuja wapendwa UrbanGentleman na cesilia hahahaha yuclighty watajibiwa wote ila Lemonade lazima ichukue mkono wake!
Remmy said: samahani shout out ndio nini?? mi mgeni natokea mexico kwa lucifer. Nataka kuja huko wasapu Click to expand... uuuwi hata sijui nikwambieje, labda utume salamu na maoni whatsapp Remmy nakuja wapendwa UrbanGentleman na cesilia hahahaha yuclighty watajibiwa wote ila Lemonade lazima ichukue mkono wake!
yuclighty JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 676 Reaction score 325 Dec 21, 2016 #117 muda ndo huu madameeeeeeeeee
red apple JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 780 Reaction score 1,216 Dec 21, 2016 #118 hataree kabisa.
Summer martin Member Joined Oct 12, 2015 Posts 82 Reaction score 65 Dec 21, 2016 #119 mmmmh yan nasublia hatma ya doreen 2 hapa maana naona giza mbele
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 Dec 21, 2016 #120 Miye unaogopa yatakayomkuta Doreen huko kwa Lucifer