Kunamtu humu aliwahi kuweka link ya IRIS season two je mnaweza kutusaidia links za movie nyingine?
I'm interested with Korean Secret Agency yeyote mwenye link please
Mimi huwa sipendi series za ki detective za crime investigation kama CSI au hawaii five O na nilikua najua Homeland na Burn Notice ndo zipo hivo hivo until nilivoona wakuu wanazirecomend hapo juu ndo nikazicheck wikipedia kumbe zina story nzur tu..
So nimeshapata Homeland season 1 na now nafanya mpango wa burn notice nione kama zimetulia kwel au vp..
Halaf huwa nasikiaga uvivu kweli kuangalia "24" lakin pia watu wanasema imekaa poa sana
Aaah hiyo strick back me naona ya kawaida tu,,, tafuta HOME LAND,,,
Hahah, jamaa anafurahisha. Ila jamaa mi namkubali kwenye nyucci, hua hazimpiti hivihivi
Kunamtu humu aliwahi kuweka link ya IRIS season two je mnaweza kutusaidia links za movie nyingine?
I'm interested with Korean Secret Agency yeyote mwenye link please
[B][URL="http://drama.watchanimeon.com/korea-secret-agency"]Korea Secret Agency[/URL][/B]
Hello Guys..
Kwa wale wadau wa Series now kuna couple Of awesome series ambazo zinafanya vizuri sana so nimeamua kushare their names ili kama bado hujazicheck ufanye mpango wa kuzipata basi..
If you are Science fiction kind of person then u must check out ngoma moja iv inaitwa "UNDER THE DOME"
For drama kuna ngoma inaitwa "RAY DONOVAN" imesimama kinoma
and kwa mwendelezo tu, "STRIKE BACK" is back with Season 4, "SUITS" with season 3, 'GRIMM' with with season 2..
Where to get them:you either buy their CD (which i dont do anymore) or you download them in torrent sites.
Expect the following tv series this september and October.
1).person of interest s03
2).Revolution s02
3).Elementary s02
4).Once upon a time s03
5).The vampire diaries s05
6).Beauty and the beast s02
7).Arrow s02
8). Grimm s03