Somalis started eating Hyenas meat

Somalis started eating Hyenas meat

​Ha ha ha ha ha, kaazi kweli kweli, ngoja niwasubiri ndugu zao ha ha ha ha ha. Kuna dini fulani wanakula Mijusi.
 
Jamani kwani hii biashara ya fisi si ilianza hapo somalia karibu mwezi wa 3 sasa, tena iliasisiwa na Alshabaab kama chanzo cha mapato na kupunguza njaa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mh pole yao, especially kama wameamua kula fisi kwa sababu ya njaa! but eish........
 
Ushaambiwa ukizidiwa sana na njaa ukahisi kifo basi kula nyama au chakula kisicho halali kwani kitakuwa kimehalalishwa akwa sababu ya njaa yako
 
Back
Top Bottom