kumbe awachekani na watu mbeya
Mbeya gani? ya TZ au kuna mbeya ningine. Mbeya ni sehemu za mwanzo kabisa kuwa na ATM baada ya Dar. Somalia huwezi kuilinganisha hata na Tabora sembuse mbeya?kumbe awachekani na watu mbeya
SIPATI PICHA hiyo ATM ingekuwa inatoa Somalia Shillings...,
Hizo hela lazima unanunua kitu kwa kuzipima kilo sio kuhesabu. Haitawezekana!
Mfano mkate utakua labda kilo 2 ya elfu elfu, nanasi kilo 2 na nusu n.k.
Kuzihesabu kila ukinunua kitu haitawezekana. Maana kitu kama gari itakua ni figure ambayo haiko hata kwenye vocabulary ya namba!
Mbeya gani? ya TZ au kuna mbeya ningine. Mbeya ni sehemu za mwanzo kabisa kuwa na ATM baada ya Dar. Somalia huwezi kuilinganisha hata na Tabora sembuse mbeya?