T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,269 Reaction score 5,975 Aug 12, 2025 #1 Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae kubainika walivujisha siri za uwepo wake.
Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae kubainika walivujisha siri za uwepo wake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,724 Reaction score 1,251,317 Aug 14, 2025 #2 Hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,797 Reaction score 193,745 Aug 16, 2025 #3 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw