Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Shida hasa nn hii inchi imekosa amani kabisa nani atathubutu kuisaidia itoke kwenye hilo janga la vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Ni wenyewe tu kukaa kutafuta muafaka,lakini kwa sababu kikundi cha Al shabab kinasaidiwa na Al quieda, Osama Bin Laden ameishafariki nafikiri kitakuwa kimepungukiwa nguvu.Shida hasa nn hii inchi imekosa amani kabisa nani atathubutu kuisaidia itoke kwenye hilo janga la vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Shida hasa nn hii inchi imekosa amani kabisa nani atathubutu kuisaidia itoke kwenye hilo janga la vita ya wenyewe kwa wenyewe.
unaonaje tukianza mimi na wewe kuwasaidia..kuliko kusubiri hao wengine??
"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people."
- Julius Kambarage Nyerere, from his A Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968.
hata kama haki za msingi za raia zinavunjwa other nation cannot intervein to make the state into peace
Tafadhali naomba nijue hilo swali au statement???