Somalia: Al-Shabab leader says he has quit terror group

Somalia: Al-Shabab leader says he has quit terror group

Status
Not open for further replies.
Ninavyojua mimi ni kwamba ndege za Marekani zimemuaa Godane kiongozi wa kikundi cha Waislam kiitwachwacho Al shaabab. Hizo propaganda zenu zi vijiweni siziangalii

Macho unayo lakini hakuna anaekulazimisha kuziba macho yako au kuyaacha wazi yaone.
Mimi si mtengeneza filamu, nimekuekea links tu za watu wanaofatilia nyendo chafu za nchi mbali mbali katika historia.

Hutaki unaacha.
 
One year or ten years, does it matter what the Kenyans are thinking? can you change that?
Kenyans knows better now, that Al Shabaab are diabolical and are chemical animals which is contrary to the way you portray them. What do you get when you endorse those peace breakers?
 
DuppyConqueror

Hapo ndipo nnawashangaa uwezo wenu wa kufikiri.

Huyo ana donge nono, toka kajisalimisha kwa Wasomali wenzake kwanini wasimpeleke kuchukuwa hilo donge nono? Na kwanini wamuache atangaze kwa raha zake? Fikiri!

Nani aliyekuwa anamjuwa kabla ya hapo? kwa ushahidi upi? Fikiri.

Haka ni kamchezo na mbinu za siku nyingi za saikolojia ya front-line.

Wenye kufikiri wanayajuwa hayo.
 
Last edited by a moderator:
Unasapoti ujinga wa Al-shabab na ISIS? We mwanamke jifikirie sana wewe.

ISIS ni zao la USA na Israel.

Al shabab ni zao la US.

Na mimi nawapenda sana USA lakini siafikiani na hayo mazao yao.

Na siafikiani na mauaji iwe ya Msomali au Mkenya au binadam yeyote yule.

Wewe jee?
 
ISIS ni zao la USA na Israel.

Al shabab ni zao la US.

Na mimi nawapenda sana USA lakini siafikiani na hayo mazao yao.

Na siafikiani na mauaji iwe ya Msomali au Mkenya au binadam yeyote yule.

Wewe jee?

Those guys are muhammadans.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom