Somalia: Al-Shabab leader says he has quit terror group

Somalia: Al-Shabab leader says he has quit terror group

Status
Not open for further replies.

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
fbd8c30f5bc26f046c0f6a706700fde9.jpg

A leader of Somalia's Islamic extremist group al-Shabab with a $3 million bounty on his head announced Tuesday he has quit the insurgency and renounced violence perpetrated by the al Qaida-linked group.

Zakariya Ismail Hersi, who was al-Shabab's intelligence chief, called for reconciliation while speaking to the media for the first time since his surrender to Somali authorities in late December.

"I can confirm that as of today I am no longer a member of Al-Shabaab and I have renounced violence as a means of resolving conflict and I will aim to achieve my goals towards peaceful means, and through reconciliation and understanding," Hersi said.

Some analysts say Hersi defected because he feared for his life because of friction with colleagues loyal to Ahmed Godane, the al-Shabab leader who was killed by a U.S. air strike last year.

Hersi is one of seven top al-Shabab leaders targeted by the Obama administration in 2012 which offered rewards totaling $33 million for information leading to their capture. It's not clear who, if anyone will get the bounty for Hersi.

Despite major setbacks in 2014, al-Shabab continues to wage a deadly insurgency against Somalia's government and remains a threat in Somalia and the East African region. The group has carried out many terror attacks in Somalia and in neighboring countries, including Kenya, whose armies are part of the African Union troops bolstering Somalia's weak U.N.- backed government.

Last week, three Somali nationals were killed when a suicide bomber detonated a car bomb outside a hotel housing the advance party of the Turkish President Recep Tayyip Erdogan who visited the country days later.

Al-Shabab controlled much of Mogadishu during the years 2007 to 2011, but was pushed out of Somalia's capital and other major cities by African Union forces.

Source:yahoo
 
Safi sana , hapo ndiyo utajuwa damu nzito kuliko maji.
 
Safi sana , hapo ndiyo utajuwa damu nzito kuliko maji.

Wewe na Waislam wenzako huwa mnasema Al shaabab ni ya wamarekani, mbona Marekani imeua top wao?, Pia wameweka pesa nyingi kwa atakaefichua viongozi wa juu?

Pia Marekani imeweka dau kwa atakaefichua alipo kiongozi wa Boko haram

Pia marekani iko msitari wa mbele kupambana na ISIS.

Muwe mnaacha propaganda za kitoto, wanaume wanapigana jihad za kidini nyie mnarusha mpira kwa Wamarekani
 
Wewe una matatizo makubwa sana ya ufahamu, sisi tunayarudia tu, yanasemwa na hawa, sikiliza:

[video=youtube_share;Dqn0bm4E9y w]http://youtu.be/Dqn0bm4E9yw[/video]

Msikilize na huyu kwa makini sana, utafutahi na roho yako:

[video=youtube_share;c3I3ahtwrZE]http://youtu.be/c3I3ahtwrZE[/video]
 
Wewe una matatizo makubwa sana ya ufahamu, sisi tunayarudia tu, yanasemwa na hawa, sikiliza:

Hao wanazungumza tu, yaani Marekani ianzishe kundi, iwe ya kwanza kuua viongozi, pia Marekani iwe na uwezo wa kushawishi watu wavae mabomu na kujitoa muhanga?, siku hizi naona hata watoto wa miaka 10 wanajitoa Muhanga
 
Inaonesha hata Hillary Clinton hujamsikiliza licha ya George Galloway.

Unashangaa nini wakati hao ndiyo wauaji wakubwa duniani?

Au Lugha imekupiga chenga?
 
There was a guy from Colombia used to hate God and me with passion. Huyu jamaa, hata kuangalia sura yangu ilikuwa hataki. This person, even vowed to get rid of me. One day I told his friends that, the dude will accept Jesus. Everybody laughed at me.

Do you know, Dr. Guzman is now preaching Jesus Christ. I mean, if a Colombian Cartel can accept Jesus, these guys you mentioned are nothing before the omnipotent God.

You mean a drug Cartel?!,.....wow!, We'll be waiting for a testimony!
 
[h=1]An honest Israeli Jew tells the Real Truth about Israel[/h]
[video=youtube_share;etXAm-OylQQ]http://youtu.be/etXAm-OylQQ[/video]

Hivi wewe mbona unawachukia wayahudi hivo. ..do they know you, do they care au unajibinusha tu
 
Ishmael

Nimekuotea mkuu! Safi sana. I can now believe you(...!!!...).

Comming to the matter above; Huyo jamaa kakombolewa na fikra zake pevu baada ya kufanya critical reasoning juu ya ushenzi na uhayawani unaotekelezwa na Magaidi hao.

Sitaki kuamini kuwa "ameogopa American threat" kwani Magaid huwa hawaogopi chochote zaid ya kutimiza malengo yao. Excellent!
 
Last edited by a moderator:
Wewe na Waislam wenzako huwa mnasema Al shaabab ni ya wamarekani, mbona Marekani imeua top wao?, Pia wameweka pesa nyingi kwa atakaefichua viongozi wa juu?

Pia Marekani imeweka dau kwa atakaefichua alipo kiongozi wa Boko haram

Pia marekani iko msitari wa mbele kupambana na ISIS.

Muwe mnaacha propaganda za kitoto, wanaume wanapigana jihad za kidini nyie mnarusha mpira kwa Wamarekani

Link https://www.jamiiforums.com/international-forum/125362-ugaidi-wa-serikali-ya-marekani.html
 
Inaonesha hata Hillary Clinton hujamsikiliza licha ya George Galloway.

Unashangaa nini wakati hao ndiyo wauaji wakubwa duniani?

Au Lugha imekupiga chenga?

Ninavyojua mimi ni kwamba ndege za Marekani zimemuaa Godane kiongozi wa kikundi cha Waislam kiitwachwacho Al shaabab. Hizo propaganda zenu zi vijiweni siziangalii
 
Pole sana mama, hizi ndio verse za Ugaidi. Hivi kweli Godane alieua maalufu ya watu kauawa katika njia ya Mungu, hivi mbona Waislam mnamfanya Mungu aonekane wa kawaida? Hata siku moja Mungu hayuko hivyo, wala haitaji kupiganiwa. Hivi kiumbe ulichokiumba wewe utakitaka kipigane kwa ajili yako? Pole sana, tatizo ni ujumbe gani ulipewa ukiwa mdogo

Wewe unamuona huyo kauwa, lakini jee, huoni kuwa yeye ndiyo kafatwa kwao na kuuliwa watoto na wanawake na wazee wao? Hivi wewe uingiliwe kwako ukilinda ardhi yako na wanawake zako na wazee wako na watoto wako inakuwa unapigania njia ya nani? Shetani? Fikiri:

Halafu tazama hii uone Wakenya wenyewe wanasema nini: https://www.jamiiforums.com/kenyan-politics/796108-jicho-pevu-timbwili-la-lamu.html
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom