Soma uujue AOKIGAHARA: Msitu wa ajabu Japan ambapo maelfu ya watu wamekufa kimiujiza

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,074
3,735
aokigahara2.jpg



09426.jpg




Aokigahara au msitu wa kujiua au bahari ya miti ni msitu ambao una ukubwa wa 35 square- kilomita ambao uko karibu na milima ya fuji huko japan

msitu huu ni msitu ambao mbali ya kuwa ni kivutio kikubwa cha watalii ni msitu ambao unasemekana kuwa una mambo ya ajabu, kutisha na kuogofya
ni kawaida kabisa ukiwa ndani ya msitu wa Aokigahara ukisikia unaitwa jina lako na mtu asiyeonekana iwapo ukiwa ndani ya msitu huo

desktop-1423249133.jpg




pia inasemekana kuwa unaweza kumuona mtu kwa mbali kwenye miti ya msitu huo ukifuatilia huoni mtu kwa maana watu hao wanapotelea kwenye miti

wapo waliopiga picha mauza uza hayo kama hivi...

220px-Aokigahara_forest_03.jpg
a3722620054_10.jpg



Msitu huo unasemekana una mapepo ya kujapan kwani tokea uwepo wake ni maelfu ya watu wamekuwa wakikutwa wamekufa maeneo hayo haya kwa kujiua

ambapo kwa mwaka 2010 pekee watu 54 wamekutwa wamekufa ndani ya msitu huo

images
images
aokigahara_japanese_forest_suicide_weird_dead.png




tafiti zaidi zinasema kuwa tokea mwaka 1988 walipoanza kufanya hesabu za watu wanaojiua msituni hapo ni watu 30 kila mwaka huenda msituni hapo na kujiua

15538100281efd8954a449de47e8b062.jpg


In 2003, miili 105 ilikutwa msituni watu wakiwa wamejiua, ambapo iliizidi recodi ya watu 78 mwaka 2002

tumblr_n8381ukl3X1sjlidyo1_r1_500.jpg



mwaka 2010, it was estimated that watu 200 walijaribu kujiua na kati ya hao 54 walifanikiwa kujiua


Yurei_Aokigahara_kamikaze_p_durea_sp_nzura_ilor_autopunct_cardinal10.jpg


cha kushangaza sasa matukio ya kujiua yanaongezeka sana mwezi March mwisho wa fiscal year kwa japan

485.jpg


mwaka 2011 watu wengi waliojiua hapo ni walitumia njia ya kujinyonga na wengine drug overdose


5ad5cf949534d9b57662c750e39efefc.jpg


siku za hivi karibuni serikali ya Japan imeamua kuficha namba ya watu wanaojiua lakini inasemekana mpaka mwaka huu kwa maana ya mwezi huu tayari kuna waliokwisha jiua msituni



Ukiwa unaingia Msituni utakuta kuna vibao ambavyo vinaelezea kuhusu msitu na onyo utakaopewa wewe mtalii
suicide-forest.jpg
4673886762_4554fed338_b.jpg


msitu wa Aokigahara imewekwa kwenye media ambapo mwandishi maarufu wa vitabu wa japan Seichō Matsumoto mwaka 1960 aliandika kitabu kiitwacho Kuroi Jukai (Black Sea of Trees). Bahari nyeusi ya miti



AVT2_Matsumoto_7115.jpg
51d3ZrkqhRL._AC_UL320_SR214,320_.jpg



Holywood na wao hawako nyuma kwani mwaka huu kuna movie inatoka inaitwa the forest iliyoongozwa na mwongozaji maarufu wa filamu jason zada na imetayarishwa na David Goyer ambaye ni mtayarishaji maarufu wa filamu ikumbukwe ndiye aliyatayarisha movie za Blade, Batman Begins na Man Of Steel (superman based movie) the forest imechezwa na Natalie Bormer na Taylor Kinney movie imetoka january 8 mwaka huu


The_Forest_Poster.jpg
 
Last edited:
Asante sana C T U kwa kutuongezea knowledge, nitakwenda kusoma zaidi, asante pia kwa kutumia muda wako kuandaa hii makala. Nimepata kitu kipya. Big up
 
Asante sana C T U kwa kutuongezea knowledge, nitakwenda kusoma zaidi, asante pia kwa kutumia muda wako kuandaa hii makala. Nimepata kitu kipya. Big up


haina shida mkuu tuko pamoja sana..
 
Kwanini watu wengi wanaokufa hapo wanajiua kuliko kukuawa na kitu au jambo fulani?
 
Kwanini watu wengi wanaokufa hapo wanajiua kuliko kukuawa na kitu au jambo fulani?

Hapa kuna conspiracy tofauti tofauti wapo wanaosema kuwa wanauawa na serikali na kwenda kupelekwa msituni Aokigahara ila wapo wanaosema kuwa kuna nguvu ya ajabu inawaua kwa nguvu za kimiujiza na wapo wanaosema ni kuwa watu hao wamechagua hiyo sehemu kuwa ndio sehemu yao ya kujinyongea

wengine wanasema watu wakifika hapo kuna pepo mbaya anawaingia kichwani na anawaamrisha wajinyonge hivyo watu wanajiua bila ya kujua kuwa wanajiua
 
Last edited:
Bravoo C.T.U umeandika kaka ila pia naskia wajapani wanajiuwa sana hawa watu hata kwenye matreni yaendayo kasi nako wanajitupa sana wafe.
Ni nchi yenye inadadi kubwa sana ya watu wanao jiuwa.
Thanks hii makala na mie ntaisoma zaidi ili kujua zaidi
 
Bravoo C.T.U umeandika kaka ila pia naskia wajapani wanajiuwa sana hawa watu hata kwenye matreni yaendayo kasi nako wanajitupa sana wafe.
Ni nchi yenye inadadi kubwa sana ya watu wanao jiuwa.
Thanks hii makala na mie ntaisoma zaidi ili kujua zaidi

yes wajapan kujiua ndio zao kama ndugu zetu wale wa nyanda za juu wale

wakifuatiwa na wahindi tena wahindi mapenzi ndio wanawaua masikini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom