Berlin
Member
- Jun 27, 2014
- 66
- 97
Hatuwezi pata wataalamu wa hovyo kisa wote tusome PCB&PCM binafsi naona kila mtu asome anachopenda tunahitaji wataalamu wa kila aina!! Kumbuka Tatizo la Ajira halijaanzia tu TZ.. hili Pengine n GLOBAL CRISIS sizani Kama kuna NCHI inaweza kuahiri kila graduate Kama zipo Basi ni chache sana..!! Zaidi sio kila mtu aajiriwe na Kuna baadhi hawana mpango kabisa kuajiriwa...
2014 kipindi ndugu yangu alikuwa naingia MLIMANI kulikuwa na Binti Advance alikula Div One ya 5 na akafika MLIMANI kusoma Bachelor of Art in Music kule Department of Performance and Fine art... Katika Same college aliyokuwepo akawepo Dada mmoja hv ambao baadae alikuja kuwa rafk yake sana kupitia DISC alikuwa na Div one ya 9 toka majengo Sec akaja kupiga Bsc in Zoology na akawa happy tu na anachokifanya..
Hapa Kuna watu wanasoma ilimradi wasome tu Kuna miradi ya familia atasimamia!! Kuna watu wanasoma kwasababu mfumo ndio umemshape hivyo na hana namna mtu yupo Nanjililinji huko au Huku kwetu Ikungulyabhashashi kazaliwa kijijini kasomea kijijini Shule Tangu ianzishwe mwalimu wa Physics Ni jamaa tu walikuwa wanamkubali hapo shuleni kwao kisa anaongoza sana Debate akala Div 4 ya 27 ndio anapewa Physics baada ya kuhitimu.. Mtu anakuja kuiona Bunsen Burner akifika Milambo boys..
Soma unachokipenda ifanye elimu iwe sehemu ya kukupa exposure na kuweza kukabiliana na mazingira na kufanya utatuzi..
Ukisoma unawaza ajira unakuja kushtuka mwaka wa6 upo benchi tu unachanganyukiwa kabisa unakata tamaa ya Maisha unabaki kukaa kijiweni unalaamu GVT Tu.. Soma kitu unapassion nacho kwanza, Soma kitu unafurahia na unamudu zaidi Soma kitu unaamin kabisa Kuna something utagain ukimaliza soma unajua kabisa na plan B mpk E huko Kama ngoma itabaki kuwa mbichi...