Soma uelimike

Soma uelimike

THK DJAYZZ

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
2,166
Reaction score
175
Nawapongeza vijana wangu wanao tumia akili zao kiubunifu kwa kutuletea story mpya kila siku. Ila sasa Kitendo cha kupenda kurudia rudia story mnao jielewa mnaniboa bora muache kwa kweli. Mnatetea suala la watu wageni kwani wao hawaoni page zilizo pita. Na kama ni wagen wa Jf ni bora waombe maelezo ili waelimishwe kuhusiana na utaratibu zaidi.
 
Hilo ni sawa lakini m2 wangu wengine wanaingia jf kwa wiki mara moja so itakuwa ngumu.
 
Yah ni kweli ila kwa wageni kuwabana ni ngumu ila wenyeji ndo wazipotezee km wanakumbuka zishatoka tayari
 
ukikutana na joke iliyosimama hata uisome kila siku huchoki.
nini maana ya kuweka media nyumbani au ktk library yako?
 
Mkuu si kila mtu humu anaweza ku-access jf kila siku hata kama ni member wa mda mrefu, vilevile pendekezo lako la kuwa wageni wasome link zilizopita siliafiki hata kidogo kwa kuwa hata wewe unajua ugumu wa kupitia thread zote kwa mpigo ili hali kila siku ya mungu thread mpya zinaingizwa jf. Sio lazima usome thread iliyoikuta imejirudia unaweza kuipotezea na wewe ukaandika ya kwako mpya ili utuongezee thread mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom