Soma tu unaweza ukapata fundisho!!!!

Aisee!! Huko ni kutojitambua pamoja na hako kaelimu alikopewa binti kija! Mungu c abdallah atalipwa hapa hapa duniani! Anaweza kosa hata hyo ndoa yake kwa mabula! Umenikumbsha msichana flani alikuwa muongo kupitilza aliwezakumdangnya hadi kabila lake,aisee kikowapi? Jamaa baada ya kujua ukweli alimuacha mazima !hadi leo binti analia kumpoteza bwana huyo! Cjui kwanni huwa wanafanya hvyo! Aibu yao!!
 
ukijikubali na kukubali hali yako na ulikotoka,kwamwe hautaionea aibu familia yako
 

aisee,ukisikia ng'ombe wa maskini hazai,akizaa huzaa dume tena dume lenyewe shoga.samahani,ndo yule kija aliyekuwa akiishi nyakato-nundu?
 
Laana zingine huwa zinatafutwa na mkataa kwao ni mtumwa, Mungu atamuonesha siku kama alichokifanya si sahihi na mama ake mzazi anaumia
 
Mr n mrs kombe ndo wa kulaumiwa zaidi ila Kija ni zaidi ya mbwenu lol!
 
Mr n mrs kombe ndo wa kulaumiwa zaidi ila Kija ni zaidi ya mbwenu lol!

Dada ram... Kwanza pole mamie!

Afu mie sijatamka ujue!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli dunia magazijuto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
dah kweli nimeamini "Mwanamke mzuri, -------- ni kama pete ya dhahabu,kwenye pua ya nguruwe...
 

hii cyculation itaisha vipi lara 1 ?
 
Last edited by a moderator:
mama yangu ni nguzo ktk maisha yangu.. nataman nijue hatma ya Kija ..lol.!
 
Napita tu sledi ndefu mtanihadithia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…