Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,235
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.
 
Mwezi huu wa 8 kwa 2014 ni mwezi wa ajabu saaana ..ndio mwezi pekee wenye ijumaa 5, jmos 5 na jpili 5..mara ya mwisho mwezi kama huu kutokea ni zaidi ya miaka 252 iliyopita. Nini maoni yako mdau.

Aiseeee!! ndo mana napenda sana jf, hadi raha.
 
Dah ni balaa,hi inamanisha mwez huu duniani kuna k2 ambacho c cha kawaida kitatokea
 
Maana yake una siku mbili za ziada za Walevi kukesha baa..! Ukijumlisha na Nane-Nane maana yake kuna jumla ya siku 11 (kati ya 31) za kukesha baa...! Too bad

Wasted 11 days...!
 
ImageUploadedByJamiiForums1407229905.690741.jpg
Kalenda yenyewe hii hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
hakika ni ajabu,je kufanana huku kuliko tokea kwa mara ya kwanza ni tukio gani kubwa lililotokea?
 
mhm! jamani mmefanya utabiri gani mpaka mkagundua niambieni sasa kuna wiki tano badala ya 4 za kawaida?
 
Mwaka jana nilipata coincidence!

Birthday yangu ilikuwa sikukuu ya idd tarehe 9, Mwezi August na Siku ya Ijumaa ambayo ndo siku hasa niliyozaliwa.

Nilipata kazi na Cheo mwezi August mwaka jana

Na kuanzia mwezi huu August 2014 nimeongezewa mshahara kwa 140%.

Again 5 Fridays, 5 Saturdays & 5Sundays in my birthday month August 2014

WHAT A LUCKY BREAK!
 
Si kweli kwamba mara ya mwisho kutokea ni miaka 252 ilopita, almost kila mwaka inayo kitu kama hicho, hata March 2013 ilikuwa the same..
 
Ngoja ma illuminati watupe yaliyojir mwezi huu
 
Back
Top Bottom