Mfanyakazi wa kike alikuwa anamshukuru mfanyakazi mwenziwe wa kiume kwa kumsaidia kalamu usiku uliopita, baada ya yake kugoma. Alimwandikia SMs hivi:
Your penis very good. I enjoyed having it last night.
Mke wa jamaa akaona message hiyo. Hadi naandika huyo jamaa hajaonekana kazini!