Toka mwaka 2014 baadhi ya simu nyingi toka Asia hasa India ukigeuza kwa nyuma utaona Android One hata kama kama zimetoka kampuni tofauti. Umewahi kujiuliza kwanini Android One ni kitu gani? Twende pamoja.
View attachment 852413
Android One ilizinduliwa na Sundar Pichai, Mkurugenzi Mtendaji wa Google. Mpango huo uliundwa ilikuwa ni maalumu kwa soko la India na nchi masikini. Mpango huo ukiwa ni kutengeneza simu za bei rahisi lakini zitakazoweza kuendana program ya android
endelea kusoma