Soma Hii Halafu Nipe Ushauri(true Story)

Soma Hii Halafu Nipe Ushauri(true Story)

Maxi Priest aliimba "Some guys have all the luck".

Wakati kuna vijana wana ukwasi hapa wanalalamika hakuna binti anayewaangalia hata mara moja, licha ya mara mbili, wewe tatizo lako anakuganda luba.

Mwambie akitaka kukufuata fuata that is stalking and harassment.

Kama mtoni mtu kama huyonunaweza kumchukulia restraining order, sijui kama bongo hii kitu ipo.

Purely theoretical, matatizo mengine mpaka unajiuliza mara mbilimbili.
 
usirembe kiongozi....mkasi wa mbavu afu unatambaa na besela....hata kama una bahati vipi huwezi kuokota NYUMBA....hiyo ndo bahati yako please itendee HAKI..,
 
Anataka kuja kwa gharama zake, wewe shida yako nini? Piga mzigo huo, kilimo kwanza
 
kama humtaki usiulazimishe moyo wako. uwe na msimamo kijana. nahisi naweza kukusaidia katika hili, HEBU NAOMBA NAMBA YAKE YA SIMU. nitamfanya asikutafute tena na hiyo safari ataahirisha. usihofu. please PM me her phone number....

Hahahaaa mkuu unanifurahisha unavyozikamata hizi fursa...
 
Embu kuwa na msimamo kama mwanaume mana swala lako haliitaji ushauri. Mkatie mawasiliano kaa mbali naye kabisa usimpe nafasi akuzoee hata kidogo.

Assume ndiyo wewe unamtaka huyu jamaa utafanyaje?
 
Back
Top Bottom