Soma hii barua ya kuomba kazi.

Soma hii barua ya kuomba kazi.

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,453
Reaction score
8,439
Any comments ?

Only in Malta1.jpg
 
Huyu mtu lazima aitwe japo hata wamuone tuu!
 
haaa leo nimecheka japo hela sina vyanadungu
 
we jamaa ulikuwa umefungwa nin! ndo umeibuka ukaikuta saiv. hii ni habari ya 2yrs back we ndo untuletea leo...lol.
 
Sasa death certificate alitoa wapi?:A S-eek:
 
we jamaa ulikuwa umefungwa nin! ndo umeibuka ukaikuta saiv. hii ni habari ya 2yrs back we ndo untuletea leo...lol.

Wengine ndio wanaiona leo na siajabu wengine wataiona mwakani si watu wote wamejiunga na social network mkuu
 
Wengine ndio wanaiona leo na siajabu wengine wataiona mwakani si watu wote wamejiunga na social network mkuu

Yaani watu kama wameona wao hawapendi mtu apost tena mtandaoni, ingekuwa hivyo quotes za hekima zilizotolewa miaka mingi iliyopita sijui tungezijuaje sisi watu wa leo!
 
Yaani watu kama wameona wao hawapendi mtu apost tena mtandaoni, ingekuwa hivyo quotes za hekima zilizotolewa miaka mingi iliyopita sijui tungezijuaje sisi watu wa leo!

Pia wanatakiwa wasiwabeze watu wanaotoa taarifa zilizotolewa fb sio wote ni members huko. Habari sio JUA kwamba likitoka kila mtu analiona ndio maana jf iko kwa ajili ya habari za zamani na mpya vilevile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom