Soma haya maelezo ni muhimu kwa afya yako

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
698
Zipo hisia na tetesi kuwa sisi wenye asili halisi ya Africa hatupati msukosuko mkubwa mkubwa corona isipokuwa wenye maradhi mtambumbuka.
Zipo tetesi pia huko USA jumuia za weusi zinaongoza vifo kulikoni tupeni uzoefu.
Wasalam
cc: Nyani Gabu&Coy

Sent using Jamii Forums mobile app
kuchukua tahadhari za kuepuka mikusanyiko ya watu wengi, kunawa mikono kwa sabuni na maji ikiwezekana maji ya moto mara tu baada ya kushika shika vitu au kusalimiana na mtu, kutoshikashika sehemu za pua, macho au midomo mara kwa mara, kuto kaa sehemu zenye misongamano mikubwa ya watu, umeshika noti ya pesa labda ni dukani nawa mikono, kamaa ni muuza duka au biashara yoyote vaa gloves wakati wakufanya transaction, pia waweza kutumia malipo ya kutumia mitandao badala ya cash in hand. Kama upo kwenye eneo lenye misongamano mikubwa ya watu waweza kuvaa mask hiyo ni njia Nzuri zaidi kwasababu mask ndio protective method. Hakuna haja ya kuogopa zaidi ya kuchukua tahadhari kama hizo hapo juu. Na pia usitishe na kuogopesha watu. Kunywa maji ya moto pia kula vizuri, kula mboga mboga, kula matunda, acha kula mafuta, fanya mazoezi, kama huwezi fanya mazoezi waweza kunywa maji mengi ya moto. Kuhusu kutibu watu kwa nchi za nje watu wamekuwa wakitibiwa dalili na wanapona, wengine wamekuwa wakipona wenyewe. Ila usiogope wala usitishike. Ugonjwa unaathiri mfumo wa upumuaji koo, mara inaanza kukohoa, mara mafua na baadaye anaweza kupata inflammation kwenye mfumo mzima wa upumuaji hiyo inamfanya ashindwe kupumua vizuri, na baadaye anakosa hewa, ndio maana wanasisitiza kufanya mazoezi na kunywa maji ya moto kwa wingi. Kwasababu kirusi anaathiri mfumo wa upumuaji na sio damu kama HIV. Kwa hiyo usiogope ebu beba roho kama ya manesi na madokta wetu. Ambao pamoja na matatizo kama haya lkn Bado wanao moyo wakuto Tishika. Je manesi na madokta nao wakiogopa dunia itakuwaje, hao wanao fanya utafiti wa dawa wakiogopa nao dunia itakuwaje. Silaha kubwa ni kujiamini na kutokua na hofu. Achana na rumors za mitandaoni, zitakupa pressure chukua tahadhari, pressure ni ugonjwa mbaya kuliko Corona.
 
Back
Top Bottom