kaka hivi ku-reboot kunaondoa Trojans?re-boot hiyo pc... labda kuna trojan wameingia humo wewe hujui na antivirus yako haijavikamata..
Hilo tatizo limeanza lini? umekuwapo na hiyo computer yako kwa muda gani? Hebu tuambie specifications za computer yako. Muhimu RAM, HDD, na Processor.wakuu wa na jamvi nina tatizo kidogo computer yangu iko slow sana nimejaribu kupenguza vitu lakini bado sijui nifanyaje
msaada plz
Hili tatizo ni gumu sana ku-lisolve kwa mbali ila kitu unachoweza fanya ni 1) Uninstall program - Angalia kwa makini kila line ndani ya hiyo window ukiona kuna program yoyote ambayo hukumbuki kama umeinstall itoe. 2)post screen print ya task manager- performance tab. Km hii kwenye picha.Computer hii ninayo toka mwaka 2010 .ram ni 1 gb,,,
wakuu wa na jamvi nina tatizo kidogo computer yangu iko slow sana nimejaribu kupenguza vitu lakini bado sijui nifanyaje
msaada plz