Soma hapa

Jun 18, 2012
58
5
Naomba msaada wako.nimeingia www.zoomtanzania.com nimeona nafasi ya kaz ya data clerk sasa nataka mawasiliano na jina la kampuni husika.kwani nikiingia inaniambia sim yangu ainauwezo. 071293901 ngajimalafocus21@gmail.com
 
weka hii thread yako sehemu husika(jf nafasi za kazi na tenda) ndo utapata msaada sio hapa.hapa zinawekwa thread za mambo ya siasa pekee
 
Naomba msaada wako.nimeingia www.zoomtanzania.com nimeona nafasi ya kaz ya data clerk sasa nataka mawasiliano na jina la kampuni husika.kwani nikiingia inaniambia sim yangu ainauwezo. 071293901 ngajimalafocus21@gmail.com

Namba yako uliyoiweka,haijakamilika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom