Soma Hapa Walau Unipe Ata Ushauri

Soma Hapa Walau Unipe Ata Ushauri

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
655
Heshima kwenu wadau,

Kutokana na ugumu wa ajira nimeona bora nianzie hata na kazi ya ulinzi ili niweze pata angalau senti ndogo ndogo za kusogeza maisha huku nikiendelea kutafuta kazi zenye maslahi zaidi.

Je ni kampuni gani ya ulinzi ambayo mishahara yake kidogo ina unafuu

Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia kunipa majibu ya swali langu apo juu

Asante
 
K K au kuna ile nyengine inaitwa sjui GS4U kama skosei
 
Ni G4S mkuu... Yeah nimeshawahi kusikia kuwa hawa jamaa wanalipa vizuri.
Jaribu bahati yako mkiu maana kweli maisha yapo tyt na pia nakupongeza kwa maamuzi yako. Mungu akuongoze kwenye hilo
 
^^
Hongera sana, mwanaume hachagui kazi halali.. Make it a stepping stone
^^
 
Heshima kwenu wadau,

Kutokana na ugumu wa ajira nimeona bora nianzie hata na kazi ya ulinzi ili niweze pata angalau senti ndogo ndogo za kusogeza maisha huku nikiendelea kutafuta kazi zenye maslahi zaidi.

Je ni kampuni gani ya ulinzi ambayo mishahara yake kidogo ina unafuu

Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia kunipa majibu ya swali langu apo juu

Asante

Mi nikajua tayari kazi ya ulinzi unayo kumbe hujaipata bado!!! unaweza shangaa ikakuchukua muda mwingi pia kuipata!!
Anyways jaribu KK,G4S, Ultimate Security, Knight Support Security walau kwa kuanzia!!!!
 
Nawashukuru kwa ushauri ila mnisamehe mana nimeleta mada kwenye jukwaa lisilohusu mambo ya ajira.
 
Ni G4S mkuu... Yeah nimeshawahi kusikia kuwa hawa jamaa wanalipa vizuri.
Jaribu bahati yako mkiu maana kweli maisha yapo tyt na pia nakupongeza kwa maamuzi yako. Mungu akuongoze kwenye hilo

Thanks for advice
 
Mi nikajua tayari kazi ya ulinzi unayo kumbe hujaipata bado!!! unaweza shangaa ikakuchukua muda mwingi pia kuipata!!
Anyways jaribu KK,G4S, Ultimate Security, Knight Support Security walau kwa kuanzia!!!!

Asante kwa ushauri.Unajua kabla hujafanya maamuzi wapi pakwenda lazma ujue kwanza maslahi mana kampuni ziko nyingi sana.
 
Back
Top Bottom