soma hapa usaidie jamii na hili tatizo

soma hapa usaidie jamii na hili tatizo

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,950
Reaction score
2,187
nina jamaa yangu tangia tumalize shule hatujawahi kuonana jan ndio tumeonana baada ya kutoka wilayani kuja jijini kwa lengo la kutafuta madawa ya kuongeza urefu wa kifaa na unene wake kwa kiswahili sanifu madawa ya kuongeza urefu na unene wa wa kifaa cha mwanamme sasa mimi baada ya kunieleza nkapinga vikali na akaondoka kwenda kununua baada ya kumpigia simu hakupokea hadi saiz haipatikani tena ndio maana matangazo mengi yamejaa mjini kumbe yana wateja kama una uelewa na madhara yake funguka utueleze ili tuinusuru jamii kwa kuwa na mila potovu ya kuwa ukiwa na kifaa kirefu utaleta heshima ndani ya ndoa wakati wa tendo la ndoa
 
Kila mtu aridhike na vile alivyoumbwa na Mungu,kumridhisha mwenzio si ukubwa wa kifaa,mautundu tu
 
Sijawahi ona mtu ambaye kaongeza maumbile yake ingawa huwa naona kwenye matangazo kuwa kuna dawa za kutanua misuli ya maumbile ya kiume na kuyafanya yawe makubwa.
Mtafute jamaa yako ujue kama kafanikiwa ama vipi.
 
Sijawahi ona mtu ambaye kaongeza maumbile yake ingawa huwa naona kwenye matangazo kuwa kuna dawa za kutanua misuli ya maumbile ya kiume na kuyafanya yawe makubwa.
Mtafute jamaa yako ujue kama kafanikiwa ama vipi.
kazima simu kwa sababu ya kufalakana naye ila nikimupata ntamuuliza
 
something aint right bout ya story...nahisi kuuziwa mbuzi guniani
 
Back
Top Bottom