Soma hapa, muhimu sana wakuu

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Samahani kwa usumbufu wandugu,

TCU wametoa majina na humu JF kuna wadau wametoa link zao kupata kirahisi, manake ya TCU haifunguki.

Ombi: Ndugu zangu me natumia simu ku access internet (haisupport pdf), nipo kijijini kwetu na hata simu yenyewe nimecharge kwa betri ya gari
sasa kuna ndugu zangu wanahitaji kufahamu selection zao, naomba aliye tayari kunisaidia kwa hili, aniruhusu ni PM majina yao aniangalizie na Mungu atambariki sana.
 
Ok, nitumie majina yao pamoja na hizo link za tcu.. nitakujulisha
 
Woga wa nini hata wakikujua watafanya nini? Huu ni wakati wa mapambano wao wanakula pesa za walipa kodi hadi kuvimbiwa then wanajaribu kutisha watu. Wameshindwa kina Gadafi, Mubarak itakuwa m k w e r e. Mpaka kieleweke Tanzania sio mali ya Mafisadi.
 
Back
Top Bottom