Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,188
- 10,915
Nafasi ndio hiyo imetolewa, wataka usaidiwe vipi?Tungekuwa na upendo watanzania tungesaidiana kujaza hizi fomu kadiri inavyofaa twende huko ma USA
Na tutakaofanikisha kwenda tutumie njia nyingine kuwaalika wabongo wengine mpaka nafasi kama hizi zikitokea tena tuzitumie ipasavyo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app