Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kuna ukweli wowote kuhusu population ya mkoa wa mwanza ni kubwa kuliko population ya chi ya zanzibar kama ni hivyo basi kumbe hata mwanza ni nchi huru kwani tunaona kura za diwani wa bara ni zaidi ya kura za mbunge wa zanzibar nawakilisha wadau:bump:
zanzibar ni sehemu ndogo-sema kwa sababu ilishakuwa na status ya nchi itabidi iendelee nayo-idadi ya watu wa mwanza kuwa wengi-ndo iwe nchi kwa ku-compare na zanzibar itakuwa ni makosa-maana kuna mikoa mingi ya bara ina idadi kubwa ya watu kuliko zanzibar-ssa nayo ihitaji kuwa nchi?hivi kuna ukweli wowote kuhusu population ya mkoa wa mwanza ni kubwa kuliko population ya chi ya zanzibar kama ni hivyo basi kumbe hata mwanza ni nchi huru kwani tunaona kura za diwani wa bara ni zaidi ya kura za mbunge wa zanzibar nawakilisha wadau:bump: