Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

mkuu mm nimesahau password yangu je nawezaje kuipata ?
Kwenye hii Jf app mpya itakusumbua kurecover password yako. Fanya hivi, toa hiyo app mpya download ya zamani alafu recover password yako then login hukohuko kwenye app ya zaman baada ya hapo ingia playstore update Jf app bila kuitoa hyo ya zamani

Asante
 
mkuu app yangu ni ya zamani.
Asante
 
Ahsante kwa maboresho,
Kuna simu ya LG ina android 4.0.1 inagoma ku-download hiyo app ya jf tangu ikiwa version 5.2.32 (kama sikosei, but its last version) kwa maelezo kuwa not compatible: how do I get the old version?

Msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…