ile ya zamani ilikuwa nzuriBado sana , najuta kufanya updates
hivi, kwa mfano like zikionekana zote kuna tatizo gani?.Mkuu Sosoliso, asante kwa feedback.
Tunakushukuru kwa kutambua baadhi ya maboresho na kuyaainisha. Tunaendelea kufanya maboresho zaidi kwenye baadhi ya maeneo machache yaliyosalia.
Pamoja!
freebase naipenda ipo fast maana naitumia kwenye operamin alafu ndo nimezoea app ya jf niliitumiaga mwanzazoni tu nilipokuwa mwenyeji nikaifutaMzee baba bado vyuma vimekaza?
Halafu tatizo hata hawatujibu tukajua kinachoendelea.notifications imeshindikana
6 days ago
Mi nisha uninstall, natumia web direct tu sasa.bora nirejee freebase maana naona hakuna I jipya notification napata za miaka ya nyuma mpya sizioni
ngoja na mm niitoeMi nisha uninstall, natumia web direct tu sasa.
Ulianzisha thread ya nini kama huwezi kufanyia kazi inquiries wala hutoi progress ya ahadi zako?Salaam,
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea maboresho hayo.
Kwa takribani siku 10, baadhi ya watumiaji hususan wa device za mfumo wa Android mlikutana na changamoto ya kutoweza kuipata App ya JamiiForums kupitia Playstore; JamiiForums haipatikani Playstore. Nini tatizo?
Tunashukuru kwa uvumilivu wenu katika kipindi chote tulichokuwa tukiifanyia kazi.
Kuna swali lolote?
Karibu.. Bonyeza HAPA kuupdate
Wacha hasira baba weeUlianzisha thread ya nini kama huwezi kufanyia kazi inquiries wala hutoi progress ya ahadi zako?
Boring
We mzee app yako haitoi notification.... umekaa kimya hujibu watu acheni kuzinguaSalaam,
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea maboresho hayo.
Kwa takribani siku 10, baadhi ya watumiaji hususan wa device za mfumo wa Android mlikutana na changamoto ya kutoweza kuipata App ya JamiiForums kupitia Playstore; JamiiForums haipatikani Playstore. Nini tatizo?
Tunashukuru kwa uvumilivu wenu katika kipindi chote tulichokuwa tukiifanyia kazi.
Kuna swali lolote?
Karibu.. Bonyeza HAPA kuupdate
Mkuu tumepokea malalamiko kuhusu changamoto hiyo na tunaifanyia kazi..We mzee app yako haitoi notification.... umekaa kimya hujibu watu acheni kuzingua