SOLUTIONS: Hon January Rajab Makamba@ CEO RT 2011

SOLUTIONS: Hon January Rajab Makamba@ CEO RT 2011

Kwanza: niseme kua mimi SIO msemaji wa Hon. JM. I said namkubali, I don't have to prove it. I believe I have my own (objective or subjective) criterias ambazo nimeziweka hapo.

And I didn't ask you to prove your belief, or did I?

Pili: kuhusu akili yake nimeweka definition YANGU ya akili na naamini he fits that definition.

Kwa vile unaamini, sawa. Hamna neno.

Tatu: kuhusu hizo evidences za achievement, naomba umtafute google, usome achievements zake na ikibidi uconduct baseline survey in his constituency, in his office, in his party, in his neighborhood na kuingine ambapo as a leader he is expected to have an impact. Depending on the criteria you set, you might be able to measure whether or not he has made a positive impact.

Duh!:smile-big:

Nne: Mimi nimesema He can work in an institution and still promote his personal agenda sababu namuona akifanya hivo, being mfanyakazi wa serikali, and still be a leader with his own views and agenda.

Haya, naona unajificha nyuma ya 'imani' na 'maono' yako ambayo kwa kweli yako subjective sana. Hamna neno. Nilijua tu obejectively ni ngumu sana kuja na chochote to show for.

Tano: Umeniomba 100 people benefiting from his initiatives, siwezi kuwataja. Why 100 and not 1, or 1M?

Why not 1 or I mill? No reason. I just threw that number out there. But you can name two for convenience's sake.

furthermore, It might not be a directly visible benefit.

Why wouldn't it be?

think about this: if he shares his idea on social security with vinyozi wa ilala, then wakajiunga na wakachangia, na hatimaye wakafaidi health insurance, how do you measure this?

But this is a hypothetical. I asked for what he has actually done that has benefitted people in rural areas and not Ilala. Ilala is not rural unless there is another Ilala somewhere that I don't know of. So if he has a proven track record it shouldn't be that hard to point it out.

He doesn't empower people through a paternalistic approach ambapo beneficiaries wanabaki kumtegemea. He does it through so many ways.

Really?

Kama hapa he has made a good speech on energy, kuna CEO anaweza kua kafaidi na hizi explanations zake.

But you're just assuming that. And you know what they say about assuming....it makes an ass of you and.....

Sita: Ninaposema relatively open minded and welcoming criticism ni in relation to other MPs. Wapo wengi ambao wanaona kukosolewa au kupewa mawazo mbadala ni sawa na kuwaambia hawana akili. Mmoja wao ni Hamisi Kigwangala ambae aliwahi kunambia vibaya humu humu JF.

Wewe umemjua lini huyo Makamba? Ulikuwepo YA miaka ya 2003 -2005?

pamoja na wengine tuliuliza: kuandika makala ya maendeleo in rural area kwa kutumia lugha ya kiingereza ni ka manufaa ya donors, public opinion au wananchi wa rural area? akaona tunamuonea wivu.

Heheheeee labda hamkutumia lugha ya kistaarabu.

kwa kumaliza kabisa, I (unfortunately) can't restrict anyone in the way anachangia thread, but I can decide about how binafsi nachangia.

This is axiomatic my friend. But I hope we're still friends and you're not mad at me:smile-big:.

as much as I enjoy talking about him, nadhani inatosha.

You enjoy talking about him huh? Okay. cool.

Mi naendelea kujadili hoja. People started talking about him, I came in to express my (different) views, then you asked me why. Thank you for giving me the opportunity to express and explain my position. Nilipokea swali na I have responded. In a separate thread itakua vizuri uwaulize na hao wanao mpinga wanampinga kwa lipi, na wajieleze kama nilivyo jieleza mimi. kwa sasa mi naendelea na mjadala wa thread hii.

Wow...you sound kinda defensive and exasperated. Why?
 
And I didn't ask you to prove your belief, or did I?



Kwa vile unaamini, sawa. Hamna neno.



Duh!:smile-big:



Haya, naona unajificha nyuma ya 'imani' na 'maono' yako ambayo kwa kweli yako subjective sana. Hamna neno. Nilijua tu obejectively ni ngumu sana kuja na chochote to show for.



Why not 1 or I mill? No reason. I just threw that number out there. But you can name two for convenience's sake.



Why wouldn't it be?



But this is a hypothetical. I asked for what he has actually done that has benefitted people in rural areas and not Ilala. Ilala is not rural unless there is another Ilala somewhere that I don't know of. So if he has a proven track record it shouldn't be that hard to point it out.



Really?



But you're just assuming that. And you know what they say about assuming....it makes an ass of you and.....



Wewe umemjua lini huyo Makamba? Ulikuwepo YA miaka ya 2003 -2005?



Heheheeee labda hamkutumia lugha ya kistaarabu.



This is axiomatic my friend. But I hope we're still friends and you're not mad at me:smile-big:.



You enjoy talking about him huh? Okay. cool.



Wow...you sound kinda defensive and exasperated. Why?

I am not defensive, just quite uncomfortable that maongezi yamekua about mimi kumkubali kiongozi huyu, instead of being about energy in Tanzania na matatizo yake.
NN, we are still friends, and I am not mad at you. If you want to talk about JM, I will gladly have a separate conversation with you as I ENJOY talking about him (or any other leader who fits my critera of a good developmental leader). Simjui, sijawahi kutana nae but I don't need that kumkubali. If I had to meet all the leaders before niwakubali I would spend my life meeting people.
Mfano wa Ilala ni illustration of an indirect but positive impact. Just an illustration. Jibu langu to that question was that it is hard to measure all the posiitive impact of a leader and that I could not provide a number. you can't frame my answer. Kujibu nimejibu, but sikujibu kwa namna ulio taka wewe sababu jibu la swali hii halijakaa kiivo.
Usiseme hakuna positive achievement, nimekuwekea link ya Bumbuli Development Corporation (of which he talks in his website) through which people in rural area can access microfinance. this corporation alleviates rural poverty. It is an achievement.
haya, nafunga huku nahamia mobile, i won't get notifications of quotes or likes. tuendelee PM or kwa njia zingine.
 
As much as I respect John Mashaka, he will be stooging too low to even discuss anything with this fellow Makamba. These are totally different cilbers of people. Wanna be thinker and a real thinker...Thats how I see the two

Who is John Mashaka?
 
Sawa kabisa! whatever is well conceived is clearly said... and the words to say it flow with ease. ~ Nicolas Boileau
Unavosema ni kama aliongea bila kujua anachoongelea. IMO, sio kweli! Sasa basi sema na wewe your short and clear point on the energy problems faced by Tanzania. Maana kwa tatizo lilivyo kubwa, naona kama he was short and clear. He exposed the problem, then the solutions, challenges and some strategies to overcome them. I agree kua from a government official we expected more update on what has been done by his government than an exposé on problems and potential solutions, but that is another question.
Wewe kama wewe Mshinga, what do you have to say about the topic? Please be shorter and clearer
we have only one solution, to make our country technological independent that we can solve all our technological problems, all investors are focused to high earning but not solving our problem, I once condemned to makamba after he posted a poem to blame all our fore leaders for not paving a way to accumulative all matters, but i questioned him,what so far has he done to advance our science and technology as we not able even to make our own bajaji and he majestically comes out of office praising very minor things?and i told him the words he condemned will be used to blame him as he is in office doing nothing,shame enough he failed to answer my challenges and all one decision was to delete all my comments on that facebook page and he blocked me and i laughed as he failed to answer, I cant talk more, am not use to, BUT i personally decided to take measures to develop our science and technology regardless of my young age, and in a near future i am going to kick start a science and technology revolutionary work, if you like and you are science person join the clue,nitafute inbox
 
Kwa swala la ENERGY. .Serikali iamue tu kuweka roho ngumu iweze kuwasupport watu wanaojitolea kuinvest kwenye hzi cheap energy sources bcoz hii sekta ina utata sana..kuna makapuni na watu (ambao wanautajiri mkubwa sana) wananufaika sana na hii system ya kutumia diesel kama source ya kuendesha mitambo ya umeme na sure I tell you hawatakua tayari kuona biashara yao inapata losses eti kwasababu kuna ka-kampuni kameinvest kwenye coal..na ndio mana mara zote utakuta kama mtu akiamua kuinvest huko anakumbana na vikwazo vya sheria au anakosa financial support...
 
Naibu Waziri umeyasema kwenye vikao vyenu haya? Maana serikali kuwapa proposal nzuri wafanyabiashara inaweza kuwa na maana nzuri kama suala litaangaliwa kwa jicho la ushirikishwaji, kwamba serikali inashirikisha wananchi kabla ya kufanyia kazi mambo, lakini kama ndiyo yataishia kwenye roundtable basi wengine tutaona baadhi ya majibu mnayo lakini mnayakalia tu.

Nishapiga kelele sana kuondoa ukiritimba wa ugavi wa umeme uliopo TANESCO. Nafurahi kuona naibu waziri Makamba analijua hilo.

Swali, linafanyiwa kazi au ni jitihada za kujipitishapitisha tu?
 
Ingekua ni hivo kweli watu wangekuja kusema!
Wengi ni wavivu wa kusoma. :bored::bored::bored:
tunaona maandishi mengi na hakuna drawings.
Can we discuss his suit (and fashion) instead?

Sure! he looks thin, uneven, cylindrical and ... like Chaplin. He must have prepared himself for the best assessment but poor self understanding of his phenotype.

Sikiliza. Huyu na maneno kama haya hakuna kitu. Uchafu tu ili kuongeza airtime. Anarudia hotuba zilizofaa bungeni. Projection, projection. Yeye anasema planning. Wapi bwana. Tumezidiwa kiasi sasa tunadaka kila kitu. Solar, wind, geothermal, etc. Ktk Kama kweli tumeshindwa kutumia hydro. ni ujinga wa kufa kukimbilia solar na wind. Nadhani mawaziri wetu wanapenda sana kudaka vijineno vya semina za wazungu.

Naamini wote wanaojileta kwa PPP, lengo ni kuchota na kuondoka kwa uzembe waliokwisha gundua hapa. Nchi gani Europe imeweza kuachana na njia zingine kwa kutumia solar na wind? Hizi ni alternative kwa walio na ziadi, siyo sisi tusiokuwa na kitu kabisa.

Hawa wanaodhania PPP itatusaidia ni uongo la muhimu ni kuwinda 10% kote tunakokaribisha private partners. Bahati mbaya sana hotuba aliyoitoa haiwasaidii hao anaowaambia. Nilitegemea yeye kama waziri asema hao partners watachangiaje ktk hiyo crisis anayozungumzia. Kama angeweza, pia ningependa awaonye kwamba partnerhip inayotafutwa siyo sawa na sabotage wanayotufanyia.

Hakuna popote nchini ambapo PPP imetumika na mwananchi wa kawaida akanufaika. Manufaa yako vitabuni tuuuu. Hakuna cha Ali au nani. they are all opportunity grabbers.
 
Sometimes I feel kuwa watu kama akina Janaury bora wangepaki kwenye private sector

Kuna mtu aliwahi kusema kuwa Common sense is not a GIFT, its a PUNISHMENT because you have to deal with everyone who doesnt have it...in this case this is whats going on kwenye serikali yetu tukufu
 
Kama kusingekuwa na ufisad basi Tanzania hii isingekuwa na tatzo la umeme
 
January was thinking way ahead of his time...
 
Back
Top Bottom