Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,025
- 1,710
moja ya nyimbo yangu kalii kuwahi kutokea kwa mzee Solo ThangUkimaliza kusikiliza huo, tafuta na "Miss Tanzania" Bonge moja la wimbo, japo media wanaliogopa hataree

Hii "mpenzi" si ndo kamshirikisha q-chief mkuu?? one of my best song of all the time.Kuna ngoma yake inaitwa 'mpenzi' . one of the best romantic song!!!