E Eberhard JF-Expert Member Dec 20, 2010 1,120 757 Dec 13, 2013 #1 Jamani kwa anayefahamu naomba anifahamishe mahali lilipo solo la nguruwe Morogoro. Nataka nianze kuuza nguruwe wangu. Natanguliza shukrani.
Jamani kwa anayefahamu naomba anifahamishe mahali lilipo solo la nguruwe Morogoro. Nataka nianze kuuza nguruwe wangu. Natanguliza shukrani.