soldiers hata kupika mnapika kisoldier?

soldiers hata kupika mnapika kisoldier?

Mani H

Senior Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
180
Reaction score
46
Du!hata kama nizege kama unaroho nyepes huwez kula, Cheki zege la kisoldier
 

Attachments

  • IMG_20130206_00172934.jpg
    IMG_20130206_00172934.jpg
    40.6 KB · Views: 303
Du!hata kama nizege kama unaroho nyepes huwez kula, Cheki zege la kisoldier

Mbona hii nzuri sana, Jkt tulikuwa tunatumia beseni la bafuni kuchukulia msosi, halafu maisha yanaenda.
 
Du!hata kama nizege kama unaroho nyepes huwez kula, Cheki zege la kisoldier

Kaka hako kapicha angle ya chini kushoto,..nini hicho ..mkuu dotwrd ikuze hii picha tuone bana
 
Back
Top Bottom