Soldering gun na station

Electronics ni umeme wa kimaskini. Ni bora ukachomelee mageti kuliko kuchomelea viredio vya elf tano tano!
Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza.
Kwa hiyo na kubeba magunia k/koo ni bora kuliko kibanda cha Mpesa?
 
Unaweza kuwa na hoja, ila hayo mageti watu wangapi wanaweka kwenye nyumba zao.
Uzoefu wangu ni kuwa kila ufundi darasa la saba anaweza kujifunza. Ungefanya uchanganuzi wa kila na hasara za kila ufundi.
 
Wote tukiwa hivyo nani atakutengenezea simu na tv yako...wewe utazipuuza ila kuna watu zinawaweka mjini na life linaenda vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…