SOLATA: Zinapatikana Wapi?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,510
7,541
Wadau wa JF kuna taa za kusomea ambazo ni za Solar power zinaitwa Solata zinatengenezwa na dlight design. nimejaribu kuzitafutasehemu tofauti sijafanikiwa kupata. Kama kuna mdau anafahamu zinakopatikana naomba anielekeze nataka kumnunulia dogo anakwenda boarding January!
 
Ok ngoja nifanye mawasiliano na mdau wangu mmoja anauza hivi vitu kama hizo anazo then ntarudi hapa nikupe update.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Duh!hawa jamaa wa SOLATA kwani wapo duniani?coz siku nyingi matangazo yao hayasikiki hewani.Ukiona kimya,ujue raia wameshtuka,coz wanauza vitu feki.So take care at time ur purchasing such like goods.
 
Back
Top Bottom