Solar Technician available

Solar Technician available

Grid Inverter system. Mfumo wa solar unaohusisha solar panel na grid inveter ambayo hupokea umeme wa solar na kuubadili kuwa umeme wa kawaida(Dc to Ac power) na kupeleka kwenye inverter charger
 
Attachments

  • 1409909242113.jpg
    1409909242113.jpg
    121.5 KB · Views: 152
Hii ni picha inayoonyesha AVS, Inverter charger na baadhi ya vifaa vingine. Hivyo ukitoka kwenye grid inverter huingia kwenye AVS kwaajili ya kuratibu pressure ya umeme unaokwenda kwenye Inverter charger usipungue au kuzidi. Aina ya Inverter za Victron hupokea voltage kuanzia 180v hadi 260v kwa umeme wa single phase.
 
Attachments

  • 1409911220920.jpg
    1409911220920.jpg
    44.5 KB · Views: 188
Baada ya umeme kutoka kwenye Inverter ndipo huingia either kwenye Changeover( manual or automatic) ikijumuisha na Generator au huingia moja kwa moja kwenye Main Switch au DFB( Distribution Fuse Board) na kuanza kutumika kwenye vifaa km Taa au Soketi.
 
Attachments

  • 1409911821945.jpg
    1409911821945.jpg
    39.1 KB · Views: 135
Mfumo wa solar kwa picha halisi
 
Attachments

  • 1409927396536.jpg
    1409927396536.jpg
    36.8 KB · Views: 145
Mfano picha kwa mfumo wa Solar BackUp systems. Huu ni mfumo unaohusisha umeme wa grid( Tanesco) au Generator kuchaji battery badala ya Solar panel. Mfumo huu huusisha
1. Inverter/charger
2. Battery
3. AVS kwaajili ya kucontrol nguvu ya umeme kutoka kwenye tanesco au generator.
 
Attachments

  • 1409927573267.jpg
    1409927573267.jpg
    50.7 KB · Views: 157
Solar panel zikiwa kwenye paa la bati
 
Attachments

  • 1409928150993.jpg
    1409928150993.jpg
    79 KB · Views: 151
Solar panel zilizofungwa ardhini. Watu wengi huogopa kufunga namna hiyo km picha inavyoonyesha kwaajili ya kufanya ziwe salama hasa kwenye mazingira ya watu na wanyama. Wengi hupendelea kufunga kwenye paa la nyumba kwa usalama wa kutoibiwa na kudhulika kwa kugongwa kwenye kioo chake
 
Attachments

  • 1409928256774.jpg
    1409928256774.jpg
    122.4 KB · Views: 143
Solar panel zilizofungwa ardhini kwa usalama na kwa vifaa maalum visivyoweza kuibika.
 
Attachments

  • 1409928527257.jpg
    1409928527257.jpg
    68.6 KB · Views: 138
Kweli umebobea kwene masuala ya umeme, big up sana.
 
Huu ndo muundo picha wa jinsi ya kuunga vifaa na kufanya kazi mfumo wa solar.
 
Attachments

  • 1410165582321.jpg
    1410165582321.jpg
    16.2 KB · Views: 137
Solar panel at Little ChemChem Babati in Manyara
 
Attachments

  • 1410165697423.jpg
    1410165697423.jpg
    27.9 KB · Views: 128
sawa mkuu nimekusoma vizuri
natumia tv flat watt 30 dvd player watt 15 na decoder ya startimes watt 10 pia nategemea kufunga taa 6@watt 3.sasa naomba unipe mchanganuo nahitaji solar watt ngapi na betri N ngapi natanguliza shukrani.
 
Sorry nilikuwa mbali na simu. Nakupigia hesabu na kukutumia sasa hivi.
 
sawa mkuu nimekusoma vizuri
natumia tv flat watt 30 dvd player watt 15 na decoder ya startimes watt 10 pia nategemea kufunga taa 6@watt 3.sasa naomba unipe mchanganuo nahitaji solar watt ngapi na betri N ngapi natanguliza shukrani.

Majibu ni haya:
Km ukitumia battery za flooded( za kujazwa maji) itakuwa hivi.

1. Battery N200 pc 1
2. Solar 100W pc 1
3. Charge controller 10A pc 1
4. Inverter 100W.
Estimation hiyo ni kwa vifaa Tv 1, DvD 1, Decorder 1 na Taa 6, na vyote vitafanya kazi kwa mda wa masaa 4 ya usiku.
 
sawa mkuu nimekusoma vizuri
natumia tv flat watt 30 dvd player watt 15 na decoder ya startimes watt 10 pia nategemea kufunga taa 6@watt 3.sasa naomba unipe mchanganuo nahitaji solar watt ngapi na betri N ngapi natanguliza shukrani.

Na km ukitumia battery sealed( zisizojazwa maji ) estimation itakuwa hivi:

1. Battery N120 1pc
2. Solar 70W 1pc
3. Charge controller 6A 1pc
4. Inverter 100W.

Pia estimation hii ni kwa vifaa Tv 1, DvD 1, Decorder 1 na Taa 6. Na vyote vitafanya kazi kwa masaa 4 kila kimoja kwa usiku.

Nawasilisha...
 
Kuna jamaa alinishauri nikitaka kununua panel yenye watts 160 ninunue panel mbili zenye watts 80 kila panel kwasababu alisema hizi panel mbili ufanisi wake ni mzuri kuliko ile moja yenye watts 160 je, kuna ukweli juu ya hili?
 
Ufanisi aliouzungumzia ni upi? Km kila la panel inayotengenezwa hukaguliwa na kupewa madaraja na mashirika ya viwango, sasa la panel ya 160w 1 si nzuri kiufanisi ukilinganisha na panel 2 za 80w sijajua ametumia logic gani? Ya gharama au uzito? Km ni mm ningekushauri utumie panel ya 160w km unaweza kuipata kwasabab ht ktk swala usafirishaji ni rahisi kwasabab unasafirisha panel moja tu, pili hata ktk ufungaji kwenye bati utatumia vishikio vyenye ukubwa mdogo kuliko yenye panel mbili utatumia vishikio vikubwa, halafu tatu inawezekana panel moja ikawa bei nafuu kuliko panel mbili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom