Solar Panel mpya ya Watt 100 inahitajika

dalushi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
288
Reaction score
38
Solar panel ya watt 100 kutoka germany inahitajika,iwe mpya kama unazo ni PM uniambie bei nije kuchukua
 
Nenda dukani. Ikiwa na viunganishi vyake ni kama laki tisa tu. Humu jf wengi ni wababaishaji.
Piga hii ni dukani.0717364604.
 
Kwa nini unahukumu watu bila kuwa na uhakika? Subiri waje wanaofahamu! Maana hata Wewe uneonekana ni mbabaishaji tu una uhakika huyo uliyetoa namba zake anauza solar za kutoka Germany? Mwambie kama yuko Dar aende Zara solar barabara ya Bi. Titi Mohamed pale barabara ya DART inapokatisha mitaa hiyo sijui ni mtaa gani huo au piga namba hizi za mkurugenzi Wa Zara 0754299162 hapo utapata vifaa vya solar original kabisa! Huko kwingine utaishia kuuziwa vya kuigiza kutoka China.
 
sasa unasemaje?
Umeshinda wewe ujuwaye.
 
Asante sana mkuu
 
Nenda dukani. Ikiwa na viunganishi vyake ni kama laki tisa tu. Humu jf wengi ni wababaishaji.
Piga hii ni dukani.0717364604.

Ya kiganjani hio number na sio ya dukani
 
Solar panel ya watt 100 kutoka germany inahitajika,iwe mpya kama unazo ni PM uniambie bei nije kuchukua

Panel ngapi unahitaji? Najaribu kukuangalizia UK? Au lazima German
 
Sema sasa,
 
Attachments

  • 1409962563348.jpg
    1409962563348.jpg
    32.1 KB · Views: 82
  • 1409962576965.jpg
    1409962576965.jpg
    43.2 KB · Views: 82
Hiyo ni watt ngapi? Hizo za U.K watt 100 ni bei gani mkuu?

W100 , huku hakuna fake, hasa electronic and electrical. Una contact tuwasiliane. 1.2 m kama Uko happy, tatizo la huku usafishaji,lakini naweza kukuletea hadi zanzibar. Kama ni ghali, jaribu kwa Zara
 
Back
Top Bottom